Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Kutokana na kwamba naishi ktk jamii ambayo inaamini hivyo, sitaweza mruhusu mke wangu au manangu avae, kwa kulinda tu heshima ktk jamii, ingawa kwangu naona ni kitu cha fasheni.
Ni kweli ndugu. Binafsi sipendagi hata kuongozana na mwanamke amevaa hizo mambo aisee.. kutolana ma tafsiri ambayo imeshawakaa watu kichwani, ni aibu kubwa.
 
Nafikiri ni urembo ila baadhi yao wanatangaza biashara
 
Napenda sana nikiona mtu amevaa vikuku!
Huwa wanapendeza, ama kwa hakika ni urembo tuu!

Ila mimi sitakuja nivae hayo mavikuku[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Rafiki angu haswa alikua anapenda kuvaa hawez toka bila kuvaa n alikua anapendeza ila Mimi acha tuu nionekan mshamba ,siwez at kujaribu kuvaa
 
Rafiki angu haswa alikua anapenda kuvaa hawez toka bila kuvaa n alikua anapendeza ila Mimi acha tuu nionekan mshamba ,siwez at kujaribu kuvaa
Yani hizi mambo za vikuku mi naonaga ni umalaya tu.. tena wa standard gauge.. alaf balaa angalia hata wavaaji wenyewe ile appearanve yao..
 
Ni fasheni tu, ila wengi mitaani wakiona hivyo wanasema huyo demu maana yake analika kote kote, unageuza tu kama zile kaseti za zamani. Unachapa side A ukimaliza unageuza side B.
sisi wa pwani tunajua maana yake, nyie vaeni tu utashangaa mtu anakufatafata kila uendako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…