Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Kutokana na kwamba naishi ktk jamii ambayo inaamini hivyo, sitaweza mruhusu mke wangu au manangu avae, kwa kulinda tu heshima ktk jamii, ingawa kwangu naona ni kitu cha fasheni.
Ni kweli ndugu. Binafsi sipendagi hata kuongozana na mwanamke amevaa hizo mambo aisee.. kutolana ma tafsiri ambayo imeshawakaa watu kichwani, ni aibu kubwa.
 
Habari wana Jamvi
Kuna hawa Dada zetu unakuta wamevaa vicheni miguuni ambapo mtaani wanaita vikuku hivi huwa wana maana gani..?.Nakumbuka wakati nipo mdogo nishawa kuuliza ma brother wa kaniambia ati wanajiuza na akivaa miguu yote maana yake kwote kwote yaan mbele na opposite yake.Na akivaa mguu mmoja ,kulia means mbele tu na akivaa kushoto means jiran opposite yake.Nilipofika chuo nilikutana na hawa wadada wanaovaa hivi vikuku wakaniambia ati ni urembo tu.
So which is which ,sielewi naomba mniambie cz kiukwel hawa wadada nawaogopa sana ,yani hata akiwa mzuri vipi ...bahati mbaya zaidi kuna huyo mmoja ni mzuri anajitaidi mpaka ananiambia me hanisi ila
Nafikiri ni urembo ila baadhi yao wanatangaza biashara
 
Napenda sana nikiona mtu amevaa vikuku!
Huwa wanapendeza, ama kwa hakika ni urembo tuu!

Ila mimi sitakuja nivae hayo mavikuku[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Rafiki angu haswa alikua anapenda kuvaa hawez toka bila kuvaa n alikua anapendeza ila Mimi acha tuu nionekan mshamba ,siwez at kujaribu kuvaa
 
Rafiki angu haswa alikua anapenda kuvaa hawez toka bila kuvaa n alikua anapendeza ila Mimi acha tuu nionekan mshamba ,siwez at kujaribu kuvaa
Yani hizi mambo za vikuku mi naonaga ni umalaya tu.. tena wa standard gauge.. alaf balaa angalia hata wavaaji wenyewe ile appearanve yao..
 
Ni fasheni tu, ila wengi mitaani wakiona hivyo wanasema huyo demu maana yake analika kote kote, unageuza tu kama zile kaseti za zamani. Unachapa side A ukimaliza unageuza side B.
sisi wa pwani tunajua maana yake, nyie vaeni tu utashangaa mtu anakufatafata kila uendako!
 
Back
Top Bottom