<br />
<br />
Mkeo kama anajiheshimu hatovaa kikuku as it is controversial and has it has semantics problem,kama mwanamke mrembo ni mrembo tu hata asipopaka wanja sembuse kikuku?
Tangu niwe mtu mzima sijawahi kukaa katikati ya halaiki yeyote ya wanaume(ambao ndiyo wateja) halafu kikuku kikapewa tafsiri nyingine zaidi ya utayari wa kufilana,am afraid!
Inawezekana wapo wanawake au wasichana wachache wanaovaa kwa sbb ya Urembo tu,hawa ni wachache kati ya wengi ambao wanavaa ili kutuma ujumbe kwa wanaume!
In light of this,Mwanamke mwenye staha,mwenye kiasi na anayejiheshimu hawezi kuvaa hivyo vicheni!
Tuache kujenga hoja nyepesi kwamba eti wamasai nao wanafanya,sio lazima kwa wambasai kwa sababu hawa it is a long-lived tradition!
Besides,sisi hatujakopi hii kotoka kwa wamasai,tumeikopi kwa Walaya na Wamarekani ambo kukoroga Mavi ni sehemu ya utamaduni wao wakufanya Ngono!!!
Kwa hiyo watu wakisema mwanamke anayevaa kikuu most likey atakuwa anafilwa sio generalisation na ndiyo maana makahaba wengi wanavaa!!
Again,i have failed to be Euphemistic,my apologies!!