ndio maana yake ni mapambo tu,na usiwe ukawa na mwanamke,ukaona kavaa kikuku,kwenye 6 kwa 6,ukaenda sehemu siyo,hiyo sio sign kabisa.kumbe?Mx
Unauhakika!!!??? kwahiyo wamasai/wasonjo nao wanatoa ndogo??? wahindi nao wanatoa ndogo????
Kuvaa vikuku ni urembo tu hauna maana nyingine kama mfikiravyo ila wenye fikira mbovu huwa wanafikiria kama wewe!!
BINAFSI NINAVYAA VIKUKU NA HUWA SITOI NDOGO NAVYAA KAMA UREMBO HAYO MAWAZO YENU FINYU KUWA NI MTOA NDOGO SIO KWELI KWANI BINAFSI HUWA SITUMII HIYO NDOGO!!
Sign ya kwamba anatoa ndogo!!
vikuku ni urembo tu...
havina madhara wala hakuna maana yoyote.... binadamu nasi tumezidi kucomplicate mambo...kuweka maana hadi kusiko na maana loh!!!!
Siku hizi kuf**a ni DEAL...! Kwa nini kila pambo la mwili lihusishwe na kuingiliwa kinyume na maumbile?
nothing goes for nothing dadangu, nadhani tufatilie ni kwa nini walianza kutafsiri hivyo...Navipenda vikuku, ila sijawa na ujasiri wa kuvaa kwa ajili ya tafsiri za watu; l wish watu wangebadili mtazamo.
nijuavyo kila kitu kina mwanzo wake na aliyeanzisha alikuwa na mantiki yake kuivaa,...japo nashindwa kuipata exactly thread kuna mdau aliwahi kuelezea chimbuko la vikuku na ndipo ilipotokea na maana ya hivyo vikuku kuvaliwa achilia mbali hizi shanga za wamasai zinazorundikwa nyingi miguuni mwenyewe ukitizama kuna utafauti,
yamkini wenzetu kwa kuona flani (Rihana let say) kavaa kapendeza akiwa na maana yake ya kuvaa hivyo,na wewe unasema navaa hata kama wanasema hivi mimi mbona sifanyi,...
nononooo nyie wa pwani endeleeni kuvaa,mke wangu haruhusiwi kamwe wacha nibaki na uloko wangu,nitamtafutia mapambo mengine tu...