Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Na wengine wanazivaa nyingi kama mkanda wa police,na zikianza kukatika ndio full aibu....
 
kumbe anatoa ndogo ni maana yake mie sikujua....hahahaha
 
ni mapambo tu jamani,hata mimi navaa,na huo mtandao situmii,ukiwa na guu la haja,ukiweka na kikuku chako,ukijiangalia kwenye kioo,unajiona umependeza,na huvai kwa kuhisi watu watatafsiri vibaya,unavaa kwa ajili yako wenyewe
 
kumbe?Mx
 
Sign ya kwamba anatoa ndogo!!

Unauhakika? kwahiyo wamasai/wasonjo nao wanatoa ndogo??? wahindi nao wanatoa ndogo?

Kuvaa vikuku ni urembo tu hauna maana nyingine kama mfikiravyo ila wenye fikira mbovu huwa wanafikiria kama wewe!!

BINAFSI NINAVYAA VIKUKU NA HUWA SITOI NDOGO NAVYAA KAMA UREMBO HAYO MAWAZO YENU FINYU KUWA NI MTOA NDOGO SIO KWELI KWANI BINAFSI HUWA SITUMII HIYO NDOGO!!
 
Mhh!!kumbe bangili za wamasai miguuni navyo ni vikuku,,
 
Sasa kama anamkataza na bibie anataka, hata mie nitaivaa kisiri. Msianze kutafsiri visivyo

Kwahiyo hayo mapambo utakuwa unamvalia nani? unless uwe na jamaa anaekumega anapoenda kazini maana nijuavyo mie mwanamke huvaa mampambo kumpendezesha mume na vitu kama vikuku na shanga ni moja ya mapambo ya kumnyegesha mume according to swahili culture. Sisi tuliozaliwa pwani vikuku ni mapambo ya kawaida tu hata kwa ndugu zetu kina yero subai ni jambo la kawaida sana ila wa vijiweni ndio huwa wanatafsiri zao.

Kwa jinsi unavyojibu nadhani wewe ndio huyo shemeji wa mleta mada mgekuwa mnatumia majina yenu halisi mgeshajuana!
 
ni mapambo tu jamani,hata mimi navaa,na huo mtandao situmii,ukiwa na guu la haja,ukiweka na kikuku chako,ukijiangalia kwenye kioo,unajiona umependeza,na huvai kwa kuhisi watu watatafsiri vibaya,unavaa kwa ajili yako wenyewe

Kama ni urembo kwa nini avae kwa siri? Au na wewe huwa unavaa kwa siri shemeji akiwa hayupo?
 
Vikuku ni urembo tu, havina madhara wala hakuna maana yoyote, binadamu nasi tumezidi kucomplicate mambo...kuweka maana hadi kusiko na maana loh!!!!
 
Mhh!!kumbe bangili za wamasai miguuni navyo ni vikuku,,

We Nongwa, mbona we bado mdogo sana humu jamvini nani kakuruhusu kuingia? Hivi watoto wa form two mnaruhusiwa kuchangia mada kwenye jukwaa hili la MMU?
 
Mie sivai ila sioni ubaya wa kuvaa, sababu wengine hawavai na mtandao wanatumia pia ni imani tu imejijenga kwa baadhi ya watu ila haina mantiki yeyote, kwa hiyo wewe mwache.

Mkeo avae tu bwana mkubwa
 
Kama ni urembo kwa nini avae kwa siri? Au na wewe huwa unavaa kwa siri shemeji akiwa hayupo?
siri ya nini?kwa nini nifiche?wake kibao wanavaa,na wameruhusiwa na waume zao.huyo amevaa kwa siri,kwa sababu mume wake hapendi,angemruhusu angevaa tu.mambo mengine ni fikira potovu.
 
Back
Top Bottom