FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
wengine bado wana enzi mila na desturi zilizoachwa na babu zetu..kaazi kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuanzishe uzi mwingine......SHANGA ZA KIUNONI NI UREMBO?Acha ujima ndugu...shanga pia kama vitu vinginevyo labda ni pambo kwa baadhi ya watu kama zilivyo hereni na pete....This is a NON ISSUE!
Msichana habalehe bali anavunja ungoBahati mbaya tu...huyo wa form three mbona mkubwa kabisa si atakuwa amashabalehe na pengine kashafundwa so hakuna tatizo hapo.
Boss kwani asipojifunua nani atajua kama kavaa au la?
Mimi sioni tatizo kama hazionekani kwa nje, ila kama mtu ananing'iniza kila mtu aone hapo sio sawa.
Wewe unavaa shanga?
Leo nimekutana na jambo ambalo sikulitegea kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Central sekondari kukatikiwa na shanga lundo kubwa akiwa kwenye daladala akienda shule asubuhi! Hii ilitokea baada ya gari kujaa kupita kiasi na huyo mtoto alisimama katika harakati za kupishana ili wengingine washuke na kupanda, watu wakaona shanga zinamwagika kutoka kiunoni mwa huyo mtoto, japo yeye hakuonyesha kushituka sana! Sasa wanajamii tunaelekea wapi? Form three kwenda na mashanga shuleni, huyu mtoto anatafuta nini lakini? Akina mama tujenge tabia ya kuongea na watoto wetu!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwani ukivaa kikuku wanasemaje?Watu wakishaanza kuwaza ngono kila saa basi wanahusisha kila kitu na ngono. Ukivaa shanga utasikia hili, ukivaa kikuku utasikia vile. Sasa hivi wametuachia hereni/bangili tu na mikufu.
Kwani ukivaa kikuku wanasemaje?
Ngoja tuanzishe uzi mwingine......SHANGA ZA KIUNONI NI UREMBO?
luna rafiki yangu wa kighana aliniambia kwao wanavisha shanga watoto wakiwa wachanga wa kike lakini kwa kuwa zina metengeneza shape, awe na kiuno kizuri, sasa sijui kama kuna ukweli wowote