Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

wengine bado wana enzi mila na desturi zilizoachwa na babu zetu..kaazi kweli kweli
 
Acha ujima ndugu...shanga pia kama vitu vinginevyo labda ni pambo kwa baadhi ya watu kama zilivyo hereni na pete....This is a NON ISSUE!
Ngoja tuanzishe uzi mwingine......SHANGA ZA KIUNONI NI UREMBO?
 
Mi naona watu wanajifanya over civilized, kwani shanga zimeanza kuvaliwa leo?? Mbona watu wanavalishwa tangu wakiwa wadogo, na shanga zinabadilishwa kadri anavyokua hadi anakuwa mtu mzima na shanga zake kiunoni!!
 
urembo huwa unawekwa sehemu inayoonekana,na ndo mana,wengine wanavaa shanga mguuni,hereni masikioni.bangili mkononi nk....sasa hizo za kufichwa kiunoni ni urembo au kuna kazi yake??????halafu kayavaa RUNDO...akhaaaa!!!
 
Kwa msichana mdogo kuvaa shanga mimi sishabikii kabisa.
 
207-91-african-beads-747482.jpg

Wow, with JF nothing is impossible, except Dr. Mwakyembe's illness report. Ah, let me wait may be is a matter of time. Isn't it?
 
Wanafunzi wengine watu wazima wenzio. Asubuhi shule usiku kazini, vaa vua vaa vua watachoka.
 
Leo nimekutana na jambo ambalo sikulitegea kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Central sekondari kukatikiwa na shanga lundo kubwa akiwa kwenye daladala akienda shule asubuhi! Hii ilitokea baada ya gari kujaa kupita kiasi na huyo mtoto alisimama katika harakati za kupishana ili wengingine washuke na kupanda, watu wakaona shanga zinamwagika kutoka kiunoni mwa huyo mtoto, japo yeye hakuonyesha kushituka sana! Sasa wanajamii tunaelekea wapi? Form three kwenda na mashanga shuleni, huyu mtoto anatafuta nini lakini? Akina mama tujenge tabia ya kuongea na watoto wetu!!!!!!!!!!!!!!!!

Hiyo ni ajali ya kawaida tu huwa zinakatika zikichoka. Shanga za kiunoni bwana we acha tu!
 
Kwa makabila mengine uvaaji wa shanga ni tamaduni zao, wengine ni vitu wanarithi kutoka kwa ndugu zao, hvyo basi sioni correlation kati ya uvaaji wa shanga na kuwa form three mkuu, dont judge her.
 
hakuna cha ajabu, wengine wanaanza kuwavalisha shanga watoto toka wadogo
 
Watu wakishaanza kuwaza ngono kila saa basi wanahusisha kila kitu na ngono. Ukivaa shanga utasikia hili, ukivaa kikuku utasikia vile. Sasa hivi wametuachia hereni/bangili tu na mikufu.
Kwani ukivaa kikuku wanasemaje?
 
Is nöt big deal,wengine wanaendeleza utamadun makabila yao,so kimtazamo wangu haina madhara bana!!!!!.
 
luna rafiki yangu wa kighana aliniambia kwao wanavisha shanga watoto wakiwa wachanga wa kike lakini kwa kuwa zina metengeneza shape, awe na kiuno kizuri, sasa sijui kama kuna ukweli wowote

sio wa ghana tu,hata kwetu ukiwa mdogo lazima uvalishwe shanga,wanasema hvyohvyo kwamba ni kwa ajili ya kushape kiuno
 
Back
Top Bottom