Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mwenye kumuona mvaaji ndiye mwenye kutafsiri hasa kwa kuutumia muonekano wa mvaaji huyo,i.e mcharuko au la!Yet tafsiri zote za urembo na 071 bado ni applicable.
 
Habar wakuu,leo asbuh majira ya saa 12 nilipoingia bafuni nikakuta kitu kimedondoka chini,baada ya kukiangalia kwa makini nikagundua kuwa ni shanga,ambazo kwa kuziangalia tu nikagundua ni za KIUNONI,ila sasa mimi nikaziokota na kuziosha kisha nikazihifadh sehem salama KWANGU,
najiuliza nitumie njia gani sahihi ya kuhakikisha zile shanga nazikabidh kwa mwenyewe ambaye simfaham,je nitangaze au nipite chumba kwa chumba kuulizia mmiliki wa shanga zile?zoez hili nataraj kulifanya jioni au usiku maana ndo ntakua na wasaa.
naomba tushauriane jinsi ya kukabidhi SHANGA ZA WATU
 
Pita chumba hadi chumba ukiwa umezishika unaulizia mwenye nazo kiroho safi!
 
ukiuliza chumba kwa chumba haji mtu bora uziweke sehem ya kuonekana usubiri atakayekuja kuzichukua
 
zirudishe huko huko bafuni...ila hapa najiuliza wewe Bajabiri ni me au ke?,
kama ni me hilo bafu huwa mnatumia na ke?
loh kama ni hivyo nahisi huwa mnaokota vingi zaidi ya shanga
 
Last edited by a moderator:
Ukipita chumba kwa chumba tegemea kupgwa na mmiliki wa mke
 
shangaaaa....mbona kawaida tu mtafute umpe...yani kama mtu kaacha cheni vile.
 

Mkuu nakuunga mkono,ni kweli asili ya cheni/shanga mguuni kwa wanawake ni kiashrio cha hiyo huduma haramu,yani ni kama vile ukiona kiatu kwenye nyaya za umeme ambayo ni ishara ya kuwepo kwa biznes ya madawa ya kulevya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…