kuvaa shanga miguuni(kikuku) ni utamaduni ulikuwepo tangu enzi na enzi, ukisoma Biblia utaona kuwa mabinti hawakuvaa shangatu pia walivaa na njuga (nh'enda) kwa rugha ya kisukuma, wanazo vaa wacheza ngoma miguuni zinatoa sauti ni vyuma na gololi.
LoL!!! Nakubaliana na NN, shanga zinapendeza zikiwa chache kama mbili hivi hata mpaka tano zikizidi hapo kwa wengine inakuwa ni uchafu. Dr hupendi gold chain kuning'inia kiunoni!?
Jamani hizi shanga zingine ni dawa za kienyeji ambazo kina mama wanatuvalia ili watupumbaze, mwanamme ukiingia tu kwa demu wa namna hii lazima utasahau ulikotoka na kuwa kitega uchumi wake. Unafanya kazi nyumbani kwako pesa hupeleki unampa mamsapu wako mpya na yeye anagawa kwa serengeti boy wake.