Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada


huyu demu km namfahamu hivi! upo viunga gani mkuu?
 
Mm we una upunguf t wa hakili kwa7bu huwezi ukachanganya mada kichwa cha bundi mwili wa binadamu
 
Hbr jamani wana jamvi leo tunataka kuelimishana juu ya uvaaji wa shanga kwa wanawake wakati wa kufanya tendo la ndoa.sasa kwa wasichana wengi imekuwa kama ni fasheni kuvaa shanga wakati wanapotaka kwenda kukutana na wapenzi wao lkn kiukweli shanga zina maana tofauti kama tunavyofikiria kizazi cha sasa kwamba zinaongeza radha wakati wa kubanjuka lkn sivyo shanga huvaa wanawake wenye matatizo ya kizazi kama dawa wakati wa tendo kwa wenye matatizo hayo na ndio maana hata watoto wao wanapozaa huvalishwa shanga na hii inategemeana na rangi husika kwa tatizo husika na hivyo pia hutegemea tamaduni ya jamii husika pia shanga hutumika kusitisha kizazi kwa wakati ambao wazazi huridhika na watoto walio nao.angalizo kwa wanawake ambao hupenda kuvaa shanga pasi na elimu ya jamii yako .unaweza ukawa hupati mtoto kumbe tatizo ni shanga ulizonazo kuweni makini ktk hili wajameni
 
Mi nikiona dada anashanga kiunoni mwili huwa unanisisimuka na kama tupo kwenye daladala lazima nibambie.
 
Naomba uthibitishe kisayansi kuwa shanga zinaondoa kizaz au zinaleta watoto kama mwanamke hapat mtoto. Otherwise mchuchu wang ataendelea kuzivaa tu. Na nnapenda avae akisahau namkumbusha!
 
Naomba uthibitishe kisayansi kuwa shanga zinaondoa kizaz au zinaleta watoto kama mwanamke hapat mtoto. Otherwise mchuchu wang ataendelea kuzivaa tu. Na nnapenda avae akisahau namkumbusha!

Kabisaaaa...hata mie nataka kujua sababu otherwise itakuwa ngumu kufuata ushauri..
 
... hv rasimu ya katiba mpya inasema nn kuhusu shanga...??
 

Ahsante kwa elimu....
cheni ya shingoni, hereni na bangiri pia vina madhara?
 
Ngoja malekchara tupate kazi. Tunaunganisha na kile chuo cha kutongoza. Nna post doctoral certificate ya bi chau and mama victor college of divas (ipo davos hii)
At this juncture? Tunahitaji elimu ya shanga na watoto?
 
Ha ha ha ha, unatumia school of thought ipi? Western(Merekani) au Eastern(Mongolia)

Naomba nispecialize kwenye uchunaji usiotoa damu wala ngozi

Ngoja malekchara tupate kazi. Tunaunganisha na kile chuo cha kutongoza. Nna post doctoral certificate ya bi chau and mama victor college of divas (ipo davos hii)
 

Hapo nilipobold sijapaelewa kabisa, ina maana shanga pia hutumika kama mojawapo ya njia za uzazi wa mpango kwa baadhi ya tamaduni? Tunafananisha utendaji kazi wa shanga kusitisha kupata watoto sawa na sindano, vipandikizi, vidonge vya uzazi, vijiti, cndm au kalenda?
 

We jamaa mwongo
 

Jamaa kakurupuka huyo... Ukisoma aina zote za contraceptives huwez ona njia hyo kama ipo ktk family planning. Unataka watu watumie wazae bila mpango?
 
Mi nadhani shanga zilitumika kwenye famili planing as CODE
kwamba zamani mwanamke akivaa shanga za rangi fulani
(ambayo na mwanaume wowote alie pitia jando lazima aijue)
Basi mwanamke huyo yupo in her fertile period, lazima wajipange
Sio kwamba shanga ziliziwia uzazi, bali shanga zilitoa ujumbe
kuna shanga za red code, za "I'm ready", za "i'm in my fertile period " etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…