Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

sio ajabu kwa Serikali kufanya mambo kama haya hvyo sishangai
 
Last edited by a moderator:
Safi, naona mrembo anadumisha mila, kuna malimbukeni hapa wangependa kuona gold chain.
 
kuna baadhi ya wanaume wanapenda wapenz wao wavae na wengine huwanunulia wazivae, so kama hupendi wengine wanapenda vibaya just talk to your woman
 
Wanawake wenye matumbo huwa wanaziponda..:A S-frusty: lakini wenye viuno vyaoo ahhh!

am just saying
:behindsofa:
 
hiyo pics, kiuno anacho, for real. hana likitambi kuuuubwaaaaaaa.
 
Niliwahi kuuliza nikaambiwa hiyo ni kama cheni katika shingo ya mbwa
 
Kwa wanaopinga mwanamke wa kiafrika kuvaa shanga na kushabikia gold chainz viunoni WANA AKILI MGANDO!NI ULIMBUKENI ULIOPITILIZA!Especially kama zinavaliwa kistaharabu kama huyo dada!Nani anapinga kuwa hajapendeza!!??

Shanga ni pambo la kiafrika.Tatizo kuna wavaaji ambao tayari waliishaharibu maana yake na kuaffect mentality ya watu kuhusu uvaaji wa shanga!

TUACHE KUABUDU UZUNGU!
 
Kapendeza
attachment.php


 
Back
Top Bottom