Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

sisi wa pwani mwanamke bila chachandu.....? wawapi wewe?
 
Huyu si mbantu shanga hazivaliwi 2 hata siku moja.Hayo ni matusi
Kapendeza
attachment.php

Siku hizi wengi wamekuja na style zao wanafanya ile kitu roho yao inapenda bila kujali taratibu za kibantu.

Huyu si mbantu shanga hazivaliwi 2 hata siku moja.Hayo ni matusi
 
Mi mzito kuelewa, mnosaidie hii picha ya mkulu chini ni ya nn? Mwenye jibu tu
 
Habari tena wana JF wenzangu! Waswahili walisema elimu bahari huwezi yote kujua..!

Leo nataka kuwauliza tu akina dada na hata akina baba kama wewe unajua kuhusiana na hii kitu!

WAKINA DADA WANAOVAA CHENI MIGUUNI. unaweza kuta kavaa mguu mmoja au yote miwili wao wanaita (VIKUKU) huwa zina ashilia au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo homosexual, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?!
*Naomba kuwasilisha hoja*
 
WAKINA DADA WANAOVAA CHENI MIGUUNI. unaweza kuta kavaa mguu mmoja au yote miwili wao wanaita (VIKUKU) huwa zina ashilia au kumanisha nini?

Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo antoa kotekote, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?!
*Naomba kuwasilisha hoja*

=========
 
mkiwa mnapenda kutafsiri vitu mwisho mtasema hata hereni mtu akivaa masikio mawili kuna maana yake......ni urembo tu jameni....mwanamke mapambo eti.
 
Habari tena wana JF wenzangu! Waswahili walisema elimu bahari huwezi yote kujua..!
Leo nataka kuwauliza tu akina dada na hata akina baba kama wewe unajua kuhusiana na hii kitu!
WAKINA DADA WANAOVAA CHENI MIGUUNI. unaweza kuta kavaa mguu mmoja au yote miwili wao wanaita (VIKUKU) huwa zina ashilia au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo homosexual, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?!
*Naomba kuwasilisha hoja*

Mkuu Shamkware, wewe unakutana na hawa watu, si uwalize wenyewe wahusika. Ukimuona amevaa kimoja muulize "Ukivaa hiki kimoja ina maanisha nini?" na pia wa viwili nae unaweza kumuuliza. Simple like that.
 
Last edited by a moderator:

Bahati mbaya zaidi mkuu sijawahi kuwa karibu au rafiki wa mtu namna hii.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia kikivaliwa kushoto kinatangaza matumizi ya 0713 na vikivaliwa miguu yote ni urembo kama hereni au bangili.
 
Back
Top Bottom