Lighondi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 581
- 184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinyamaziiii sikai chiniiii
hiv wewe mbona unakiburi nasema tena kaa chini
huna adabu weweNimesema sikaiiiiiii
Jamani kuna jamaa mmoja h hapa Igoma anavaa cheni mguu wa kuhoto kwa hiyo naye anapakuliwa.
mie pia navaa kama urembo na wala si vinginevyo! kingine kuna baadh ya makabila kam wamasai wanavaa kabisa zile shanga zao miguuni! na wanapendeza kwelikweliii
Mimi naulizia wanaovaa shanga!
kwanini nikimuona mwanamke amevaa shanga nachanganyikiwa, nitamfuatilia mpaka niue!
The Whole Day is Classified....you know that
i know nothing mkuu
me navipenda vikuku , hzo maana za cjui kugawa tigo or kuwa available wanazitoa wapy jmn?,mana nishawahi pigwa ban kuvaa nikaacha but moyo unapenda bado