Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Nasisimka nikiviona.....mama pm kanitega,mashalaah.
 
Wengine wanavaa tuu mapambo.....hasa wadada wengi wa sasa
 
Wakuu....kwema?

Hivi mwanamke akivaa shanga kiunoni, ni ishara ya nini? Je, anataka nini?

Nimesikia sikia uvumi kuhusu maana ya shanga kiunoni, nimeona nije jikoni huki kabisa nipate mlo murua!

Tuelezane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…