Teh teh sana.....sema siku moja nilikivaa nikapita maeneo ya mapipa basi balaa ilikuwa looooh
Utalizoea pia...!
Sipendi sifurahishwagi.na huu urembo wa miguuni dohhhh
Habari zenu wanajamvi hususan wadada!
Nimekuwa nikikutana na wadada /wamama tofauti wakiwa wamevaa vicheni miguuni mwao,nasikia vinaitwa vikuku.
Bila kupoteza muda ningeomba kujzwa vinamaana gani?na kwanini kuna baadhi ya wadada wanavivaa kwenye miguu yao ya kulia na wengine miguu ya kushoto?
AHSANTENI!
Hao watu wengi wanaotafsiri vibaya wametoa wapi hizo tafsiri?Hata kama haina maana mbaya ila coz tayar inatafcriwa vbaya na watu weng czan ka ni busara mdada kuvaa kikuku
Ni mapungufu flani ya akili naona kuvaa while wajua jamii inavochkulia cvo
hereni maskioni, wengne vpini puani, bangili na wengne hadi kacha mikononi, pete vidolen, cheni shingoni, shanga viunoni, vikuku miguuni! Kila kiungo kina urembo wa ziada kwa wanawake!!
Meanings are socially constructed...
Napenda sana kuvaa cheni mguuni lakini kila nikiomba opinion ya mume wangu anakataa kata kata...
Sasa nina rafiki wa kiganda aliniona siku moja nimetupia pete nyingi vidoleni mikono yote miwili...
Huwa tuko free with each other akanambia NK hizo pete zinakufanya uonekane cheap...hivyo ndio waganda wanavyo judge wanawake...nilicheka saaana....
Nikamwambia pete Tz siyo issue ; issue uvae kikuku mguuni...wacha ashangae...akaniuliza kwani kuvaa cheni mguuni si urembo tu,,,
Nkamwambia ndio maanake...yani jamii inakulimit uhuru wa kufanya kitu roho inataka....
iwe cheni au pete ni vitu ambavyo wala havibadili ngozi wala nini lakini watu wame define wanavyotaka wao...and the definiton is widely acceptable...
Ila nimegundua ni Tz tu ndio tuna define hizi cheni this way...kwa wengine ni urembo tu...
Namlaani huyo aliyeanzisha hii definition...kwa sababu nina hamu kweli ya kuvaa kikuku...ila ndio hivyo tena....na ujanja wangu wote nimekuwa limited na hii definition...
Cna budi kulizoea kwa wadada wengine but si kwa anaenihusu coz nilazima anipe maana halisi ili nijue la sivyo sitokubali aendelee kuvaa
Kama umeshawahi pita maeneo ya kule basi wale watu wa SMZ wamejaa....basi nilipokuwa nikipita wanasema mashallah mtoto mzur.
Hongera mjomba...mara muungano udumishwe.Loooh
Meanings are socially constructed...
Napenda sana kuvaa cheni mguuni lakini kila nikiomba opinion ya mume wangu anakataa kata kata...
Sasa nina rafiki wa kiganda aliniona siku moja nimetupia pete nyingi vidoleni mikono yote miwili...
Huwa tuko free with each other akanambia NK hizo pete zinakufanya uonekane cheap...hivyo ndio waganda wanavyo judge wanawake...nilicheka saaana....
Nikamwambia pete Tz siyo issue ; issue uvae kikuku mguuni...wacha ashangae...akaniuliza kwani kuvaa cheni mguuni si urembo tu,,,
Nkamwambia ndio maanake...yani jamii inakulimit uhuru wa kufanya kitu roho inataka....
iwe cheni au pete ni vitu ambavyo wala havibadili ngozi wala nini lakini watu wame define wanavyotaka wao...and the definiton is widely acceptable...
Ila nimegundua ni Tz tu ndio tuna define hizi cheni this way...kwa wengine ni urembo tu...
Namlaani huyo aliyeanzisha hii definition...kwa sababu nina hamu kweli ya kuvaa kikuku...ila ndio hivyo tena....na ujanja wangu wote nimekuwa limited na hii definition...
Ha ha ha huko nafikaga.....tuonane machava!!!
[/QUOTE]Loading...[.QUOTE=miss strong;10239234]Nna vaa kama urembo....guu la shoto
umesahau eleni kwenye chuchu na nyingine kwenye papuchi
Jamii ipi? hii hii inayojenga maguest house ili watu wafumuane?