Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Waliokuletea balaa ndo wanaijua maana yakikuku,so nibora ungewasikiliza wanasemaje ili ujue maana then ukishajua maana utachagua jibu either kuvaa au kuto kuvaa
Teh teh sana.....sema siku moja nilikivaa nikapita maeneo ya mapipa basi balaa ilikuwa looooh
 
Habari zenu wanajamvi hususan wadada!

Nimekuwa nikikutana na wadada /wamama tofauti wakiwa wamevaa vicheni miguuni mwao,nasikia vinaitwa vikuku.

Bila kupoteza muda ningeomba kujzwa vinamaana gani?na kwanini kuna baadhi ya wadada wanavivaa kwenye miguu yao ya kulia na wengine miguu ya kushoto?

AHSANTENI!

Hii makitu imeshajadiliwa sana kwa kina hapa,

hebu cheki hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/22192-urembo-wa-vikuku-na-vishaufu.html

Na hapa pia https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/50504-cheni-ushanga-mguuni-ina-maana-gani.html
 
Mara nyingi vikuku hutafsiriwa vibaya na nina hakika wanaovivaa wanajua hivyo but wanaendelea kuvivaa kwa sababu ndo vile.. jaribu kuchunguza aina ya wanawake wanao vaa vikuku utagundua wako katika steji flani kiuchumi na haiba wengi wao japo si wote wamewahi kunywa pombe na kuvaa mavazi mengine ambayo mwanamke wa kawaida hawezi kuvaa, it means hii ni silika ya kundi flani la wanawake ambao hujiamini na wala hawana aibu..i stand to be corrected guys
 
Vikuku ni urembo tu kama pete, hereni bangili au mkufu wa shingoni.
Kuhusu mguu wa kushoto au wa kulia hakuna maana yoyote kisheria wala vitabuni bali ni kundi la watu tu wanavyoamua kutumia.
Jamii zingine miguu yote ni kwa alieolewa, mguu mmoja asiye na mume.
 
Hata kama haina maana mbaya ila coz tayar inatafcriwa vbaya na watu weng czan ka ni busara mdada kuvaa kikuku
Hao watu wengi wanaotafsiri vibaya wametoa wapi hizo tafsiri?
Hao ndio WAPUMBAVU,maana hawajui halafu hawajui kama hawajui.
waulize kwanza
 
Ni mapungufu flani ya akili naona kuvaa while wajua jamii inavochkulia cvo

Kwahiyo jamii ikitafsiri kua kuvaa koti inamaanisha unajitangaza kua una VVU... Wewe kama hauna VVU utaacha kuvaa koti???
 
Meanings are socially constructed...

Napenda sana kuvaa cheni mguuni lakini kila nikiomba opinion ya mume wangu anakataa kata kata...

Sasa nina rafiki wa kiganda aliniona siku moja nimetupia pete nyingi vidoleni mikono yote miwili...

Huwa tuko free with each other akanambia NK hizo pete zinakufanya uonekane cheap...hivyo ndio waganda wanavyo judge wanawake...nilicheka saaana....

Nikamwambia pete Tz siyo issue ; issue uvae kikuku mguuni...wacha ashangae...akaniuliza kwani kuvaa cheni mguuni si urembo tu,,,

Nkamwambia ndio maanake...yani jamii inakulimit uhuru wa kufanya kitu roho inataka....

iwe cheni au pete ni vitu ambavyo wala havibadili ngozi wala nini lakini watu wame define wanavyotaka wao...and the definiton is widely acceptable...

Ila nimegundua ni Tz tu ndio tuna define hizi cheni this way...kwa wengine ni urembo tu...

Namlaani huyo aliyeanzisha hii definition...kwa sababu nina hamu kweli ya kuvaa kikuku...ila ndio hivyo tena....na ujanja wangu wote nimekuwa limited na hii definition...
 
Kotu hakina madhara kwako wala kwa mtumiaji lakini kwa tafairi za jamii mtu anashindwa kujiachia, agrrry!
 
Meanings are socially constructed...

Napenda sana kuvaa cheni mguuni lakini kila nikiomba opinion ya mume wangu anakataa kata kata...

Sasa nina rafiki wa kiganda aliniona siku moja nimetupia pete nyingi vidoleni mikono yote miwili...

Huwa tuko free with each other akanambia NK hizo pete zinakufanya uonekane cheap...hivyo ndio waganda wanavyo judge wanawake...nilicheka saaana....

Nikamwambia pete Tz siyo issue ; issue uvae kikuku mguuni...wacha ashangae...akaniuliza kwani kuvaa cheni mguuni si urembo tu,,,

Nkamwambia ndio maanake...yani jamii inakulimit uhuru wa kufanya kitu roho inataka....

iwe cheni au pete ni vitu ambavyo wala havibadili ngozi wala nini lakini watu wame define wanavyotaka wao...and the definiton is widely acceptable...

Ila nimegundua ni Tz tu ndio tuna define hizi cheni this way...kwa wengine ni urembo tu...

Namlaani huyo aliyeanzisha hii definition...kwa sababu nina hamu kweli ya kuvaa kikuku...ila ndio hivyo tena....na ujanja wangu wote nimekuwa limited na hii definition...

Haha nyumba kubwa ingekuwa mm ningeshakuruhusu zamani sana may be am too liberal but sion tatizo apo
 
Last edited by a moderator:
Cna budi kulizoea kwa wadada wengine but si kwa anaenihusu coz nilazima anipe maana halisi ili nijue la sivyo sitokubali aendelee kuvaa

Kuuumbe kuna mtu specific unataka jibu kwakeee. Haya muulize!

Kama umeshawahi pita maeneo ya kule basi wale watu wa SMZ wamejaa....basi nilipokuwa nikipita wanasema mashallah mtoto mzur.

Hongera mjomba...mara muungano udumishwe.Loooh

Najua unaongea na The Boss, lakini mimi Mentor ningependa unapowazuru hao wa Magomeni na mimi wa Kigamboni unikumbuke...

wa+kichagaaaa.jpg

wa+kisuuuuuuuuuuuuuu.jpg

Mkuu Hii miguu mbona...!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuuumbe kuna mtu specific unataka jibu kwakeee. Haya muulize!

Najua unaongea na The Boss, lakini mimi Mentor ningependa unapowazuru hao wa Magomeni na mimi wa Kigamboni unikumbuke...

Mkuu Hii miguu mbona...!!!!

Ha ha ha huko nafikaga.....tuonane machava!!!
 
Last edited by a moderator:
Hutakiwi kumlani badala yake mshukuru coz ctaki kuamini kuwa alikurupuka/walikurupuka tu bila kuwa na sababu,tatizo sisi waafrika tunapenda kudandia vitu tusivyovijua ilimrad tu tukiwaona wazungu wanavifanya kwa dhumuni fulani but sisi kazi yetu ni kuiga bila kujua maana/lengo kuu la tuigacho.Hivi nikikuuliza kwanini unapenda kuvaa kikuku sidhani kama utanipajibu sahihi zaidi ya kushabikia urembo.Tubadilikeni jaman
Meanings are socially constructed...

Napenda sana kuvaa cheni mguuni lakini kila nikiomba opinion ya mume wangu anakataa kata kata...

Sasa nina rafiki wa kiganda aliniona siku moja nimetupia pete nyingi vidoleni mikono yote miwili...

Huwa tuko free with each other akanambia NK hizo pete zinakufanya uonekane cheap...hivyo ndio waganda wanavyo judge wanawake...nilicheka saaana....

Nikamwambia pete Tz siyo issue ; issue uvae kikuku mguuni...wacha ashangae...akaniuliza kwani kuvaa cheni mguuni si urembo tu,,,

Nkamwambia ndio maanake...yani jamii inakulimit uhuru wa kufanya kitu roho inataka....

iwe cheni au pete ni vitu ambavyo wala havibadili ngozi wala nini lakini watu wame define wanavyotaka wao...and the definiton is widely acceptable...

Ila nimegundua ni Tz tu ndio tuna define hizi cheni this way...kwa wengine ni urembo tu...

Namlaani huyo aliyeanzisha hii definition...kwa sababu nina hamu kweli ya kuvaa kikuku...ila ndio hivyo tena....na ujanja wangu wote nimekuwa limited na hii definition...
 
khaaaa vikuku ndo vinakukimbiza hadi kuanzisha uzi......
 
Back
Top Bottom