Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Kwani hiyo picha ya mguu wenye shanga unadhani ni ya nani

Zinduna na wengine naomba msamaha kwa kosa la kupindisha mada kwa sababu sisi wengine kabila letu likishaona rangi nyeupe tunawaza kupiga hesabu za ng'ombe. Hata vikuku hua hatuvioni!
 
me napenda sana kuvaa shanga mguuni hasa cheni ya dhahabu lakini dah watu wanamaana zao sijui wanatoa wapi mi naona bora mtu uwe huru na unachokipenda kwa sababu utalala mlango wazi ukifata maana za watu as long as you are not doing anything bad. just enjoy.
 
Miaka michache iliyopita nilikuwa nahusisha na uhuni. But sasa hivi nimekuwa exposed naona ni urembo wa kawaida tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…