Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Shanga hiyo ilikua inahesabiwa na ulimi mkavu ili kumtekenya mwanamke sio siku hizi mnajaza mate mdomo mzima halafu unamlamba binti kosa apate mtekenyo basi ni kumjaza mate kibao mtoto wa watu
 
Reactions: G3T
your real African mkuuu....nimependa sana post yako well said

Shanga balaa, kuna bibi mmoja maeneo ya Mwananyamala B shanga zilimuumbua kwa kukatika ghafla na kudondoka chini bila ajizi mama yule aliinama pasipo kusogea hatua hata moja na kuokota utumbo wake huku watu macho wametumbua utafikiri sungura kalala usingizi wa mchana.
 
dah amakweli hii post imenikumbusha mengi sana....mtoa post cku nyingne uje na somo juu ya matumizi yake.
 
Duh mpwa umenikumbusha mbali sana kuna siku nipo napata mbili tatu na story za hapa na pale kaja jamaa anauza mzigo wakutosha anao na majina yake nakumbuka jina moja la hizo shanga inaitwa kidaka mazivu bip nikupigie yani ni vurugu
 

Nina mashaka na hofu na uzee wako
 
mnajua kuzitumia au basi.tu mnatupa lawama..... sister


Hilo sio la kuuliza mkuu.ebu mvalie siku moja boy wako uone jinsi atakavyokupagawisha.mimi wifi yako bila ya kunivalia hii kitu sijisikkii raha kabisa na ua natamani hata niame kitanda.Naipenda sana hii kitu na istoshe nina utaalamu wa namna ya kucheza nazo



View attachment 238166

Husifanye mchezo na hii kitu mkuu.ukimpata mtaalamu kama mimi unaweza kumwaga lita tatu za maji bila ya kujijua
 

siyo wote wanaozipenda asieee.....kuna wanaume umvalie shanga anakutoa nduki.....kumbuka kila mtu na uchaguzi wake......kuna wanaopenda cheni badala ya shanga......na kuna ambao hawataki uvae chochote......ndiyo raha yake.....
 
Nadhani hii ipo katika tamaduni za kikabila zaidi mfano wasukuma kuanzia mtoto wa kike akiwa mdogo anavishwa hii kitu na akishakua anafundishwa ni jinsi gani azitumie ktk ndoa lakini ukija mbeya kuna kabila la kinyakyusa hawajui kwanza watakushangaa labda kwa wale waliotembea na kuchangamana na makabila tofauti yenye tamaduni hizo
 
umenikumbusha mbali sana ! Niliwahi kukutana na mtoto flan wa kizambia ana shanga moja ya silver dah.........!nomaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…