Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mi kwa kweli kikuku navaa!
ukitafsiri unavyotafsir kila la kheri!
kwan shiiiiing ngaaapi?
 
Sio kweli dada kuna watu kibao wanavaa vikuku hawana hizo tabia, mie mwenyewe ninavitupiaga some times lakini sijawahi hata kujalibu kufanya hivyo ila kuna jirani yangu mmoja anavipinga kweli na kuvitafsiri kama unavyotafsiri wewe, anafanya mambo hayo kama hana akili nzuri maana ina fika wakati tuajiuliza sana

Hapo kwenye red, mie ni kaka!

Anyway, pamoja na majibu yako ya kupinga bado unakubali kuwa kikuku kina maana zaidi ya kujipamba kwa jamii yetu ya Afrika mashariki na hasa ukanda wa pwani.
 
Habari zenu wanajamvi hususan wadada!

Nimekuwa nikikutana na wadada /wamama tofauti wakiwa wamevaa vicheni miguuni mwao,nasikia vinaitwa vikuku.

Bila kupoteza muda ningeomba kujzwa vinamaana gani?na kwanini kuna baadhi ya wadada wanavivaa kwenye miguu yao ya kulia na wengine miguu ya kushoto?

AHSANTENI!
 
Loading...[.QUOTE=miss strong;10239234]Nna vaa kama urembo....guu la shoto[/QUOTE]
 
Sina uhakika na hili. Huwa nasikia kwamba wakivaa miguu yote kwamba yeye ni ruksa kutoa kote kote. Yaaan front and back. Akivaa mguu mmoja tu maana ni anatoa front tu. Sina uhakika zaidi.
 
hereni maskioni, wengne vpini puani, bangili na wengne hadi kacha mikononi, pete vidolen, cheni shingoni, shanga viunoni, vikuku miguuni! Kila kiungo kina urembo wa ziada kwa wanawake!!
 
Hata kama haina maana mbaya ila coz tayar inatafcriwa vbaya na watu weng czan ka ni busara mdada kuvaa kikuku
 
Back
Top Bottom