BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,732
- 3,508
Vyoote ulivyovitaja vimezoeleka na muda sasa tumevizoea kama urembo kwa akina dada/kina mama toka enzi hizooo!Ila hili la vikuku naona limekuja ghafla na kuenea kwa kasi sana,fungukeni wadada.
hereni maskioni, wengne vpini puani, bangili na wengne hadi kacha mikononi, pete vidolen, cheni shingoni, shanga viunoni, vikuku miguuni! Kila kiungo kina urembo wa ziada kwa wanawake!!