Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Vyoote ulivyovitaja vimezoeleka na muda sasa tumevizoea kama urembo kwa akina dada/kina mama toka enzi hizooo!Ila hili la vikuku naona limekuja ghafla na kuenea kwa kasi sana,fungukeni wadada.
hereni maskioni, wengne vpini puani, bangili na wengne hadi kacha mikononi, pete vidolen, cheni shingoni, shanga viunoni, vikuku miguuni! Kila kiungo kina urembo wa ziada kwa wanawake!!
 
Vyoote ulivyovitaja vimezoeleka na muda sasa tumevizoea kama urembo kwa akina dada/kina mama toka enzi hizooo!Ila hili la vikuku naona limekuja ghafla na kuenea kwa kasi sana,fungukeni wadada.

Wewe ndiyo hujui, vikuku vimekuwepo tokea zamani sana sema tu ni tamaduni za Mashariki ya kati.
 
Sasa naona kama naanza kuelewaelewa somo.Ahsante mkuu SaaMbovu
Sina uhakika na hili. Huwa nasikia kwamba wakivaa miguu yote kwamba yeye ni ruksa kutoa kote kote. Yaaan front and back. Akivaa mguu mmoja tu maana ni anatoa front tu. Sina uhakika zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ni mapungufu flani ya akili naona kuvaa while wajua jamii inavochkulia cvo
 
Vyoote ulivyovitaja vimezoeleka na muda sasa tumevizoea kama urembo kwa akina dada/kina mama toka enzi hizooo!Ila hili la vikuku naona limekuja ghafla na kuenea kwa kasi sana,fungukeni wadada.

Utalizoea pia...!
 
wa+kichagaaaa.jpg

wa+kisuuuuuuuuuuuuuu.jpg
 
Nauliza tu... ivo huaga dhahabu (gold chain) au shaba ya kawaida ? Nahitaji kwenda kumnunulia....
 
hereni maskioni, wengne vpini puani, bangili na wengne hadi kacha mikononi, pete vidolen, cheni shingoni, shanga viunoni, vikuku miguuni! Kila kiungo kina urembo wa ziada kwa wanawake!!

Dah kwangu kuvaa kikuu sijui pete vidole vya miguu imenipita aisee naona haijakaa vizuri kama kitu kizuri ni kizuri tu haihitaji more decoration kitaonekana tu
 
Kama umeshawahi pita maeneo ya kule basi wale watu wa SMZ wamejaa....basi nilipokuwa nikipita wanasema mashallah mtoto mzur.

Hongera mjomba...mara muungano udumishwe.Loooh

I am sure na wewe waliisoma namba.ulilitikisa hadi mwisho
 
Back
Top Bottom