Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

10d4fd0fde0667129817636e8dbd1b63.jpg


Mtoto huyo
 
binamu ikiwa huo ni mguu wako, basi wewe sio wale waliojaaliwa neema za Allaha
cc watu8, utafiti

Nasikia binamuyo ana majaaliwa hadi mtu waweza pagawa...

Sosi ni yeye mwenyewe hapo juu kanambia...
 
Last edited by a moderator:
Mie nikikuona nitajua Zinduna kavaa urembo.
 
Last edited by a moderator:
unaangalia na aliyevaa yukoyukoje. Kuna mwingne utaona kabisa kuwa ni mapambo (mf. Wamasai) na kuna wengne utajua si kwa urembo bali hizo tabia nyingine
 
Mi nikiona tu kikuku mguuni najua mama mwenye nyumba anatangaza kua BANDA LA UANI nalo anapangisha tena hana shaka na ukifika usipate shida ya kupiga hodi au kuuliza.
 
Wakati wanawake wameanza kuvaa hivi miguuni ilichukuliwa kama wanajiuza.
 
Mie tafsiri iliyojengeka juu ya urembo huu imenifanya nisithubutu kuweka shanga mguuni kwangu
but ni urembo mzuri tu

Tuko wengi, kuna kipindi nlikua natamani kuvaa nkashindwa.
 
Back
Top Bottom