Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
Unaonekana hujatulia una tabia mbaya
Mwanamke anae jiheshimu hawezi vaa pete kwenye kidole cha mguuni
Kwa sababu gani? Pete ya mguu ina maana gani kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana hujatulia una tabia mbaya
Mwanamke anae jiheshimu hawezi vaa pete kwenye kidole cha mguuni
Kwa sababu gani? Pete ya mguu ina maana gani kwani?
hahaha @watu wanakushangilia
haya bwana
Ndo maana wanakushangaa
Pete ya mguuni nayo inamaana yake Kibongo bongo usije ukakuta watu wanakushangilia mitaa ya kati
hahaha @watu wanakushangilia
haya bwana
http://4.bp.blogspot.com/_4bjQHrg8PCg/S_qGzQzqvCI/AAAAAAAABR4/KZ3XNA4FrAc/s640/polkadot.jpg[/img]
QUOTE]
Dah FL1 umependeza kweli. Awali nilidhani utakuwa jimama kumbe umo. Wallahi leo macho yangu yamepata mlo safi. Lol!!!!
Usichekeshe wafur, umepata mlo gani?
Hata akina mama watu wazima nao wanapendelea kuvaa vihen
![]()
Kumbeeeeehttp://4.bp.blogspot.com/_4bjQHrg8PCg/S_qGzQzqvCI/AAAAAAAABR4/KZ3XNA4FrAc/s640/polkadot.jpg[/img]
QUOTE]
Dah FL1 umependeza kweli. Awali nilidhani utakuwa jimama kumbe umo. Wallahi leo macho yangu yamepata mlo safi. Lol!!!!
Umenichanganya, wewe ni jinsia gani?Vikuku ni urembo tu hata mai wife anavaa mara moja moja tena kikuku cha gold yaani huwa napendeza kama huyo mrembo wa chini...
Kwa sisi wazoefu tuna angalia mguu upi umevaa.
Ukivaa mguu flani najua ni full kujiexpress wala sina haja ya kuuliza nikuzama tu kwenye tope
maeneo ya huku kwetu SinzaMkulu uyo apo juu ni nani?