Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

wabunge-vijana-1.jpg

Did you sought the consent of these beautiful ladies before posting their photos? Kama hamna consent hiyo ni offense mkuu.....sema kwa huku kwetu tz mtu ukitolewa vile anaweza kukunulia bia jioni kwani umekuwa umemrusha...!!!
 
tena sivai mguu mmoja navaa yote miwili na kiunoni pia,mguu wa kuvalia ninao,kiuno pia ninacho,sitoi tigo wala voda fasta ni urembo tu kwangu I dnt think its a big dili to me!
 
ACHENI UGOMVI KILA KITU KINA SABABU SASA KWANI MNABISHA NINI ATATIZO LENU KUKASANA BONGO NDIYO MAANA MNABISHA VIKUKU KWAWEZUTU NI WATU WANAOTOA MAMBO YETU,TATIZO BONGO TUNAFANYA VITU BIRA KUJUA MANNA YKE NI NINI NI SAWASAWA KUFANANISHA SABHUSA NA BAGA:behindsofa:
 
tena sivai mguu mmoja navaa yote miwili na kiunoni pia,mguu wa kuvalia ninao,kiuno pia ninacho,sitoi tigo wala voda fasta ni urembo tu kwangu I dnt think its a big dili to me!

Mbona hawasemi heleni na Bangili??
 
tena sivai mguu mmoja navaa yote miwili na kiunoni pia,mguu wa kuvalia ninao,kiuno pia ninacho,sitoi tigo wala voda fasta ni urembo tu kwangu I dnt think its a big dili to me!

ila % kubwa ya wanaovaa vikuku ni machangu na wanaotoa hiyo tgo na voda fasta,
 
tena sivai mguu mmoja navaa yote miwili na kiunoni pia,mguu wa kuvalia ninao,kiuno pia ninacho,sitoi tigo wala voda fasta ni urembo tu kwangu I dnt think its a big dili to me!
hahaaaaaaaaaaa..... wote wanasemaga hivyohivyo, :LOL
 
wadada watakataa ila ukweli unabaki palepale asilimia kubwa wanaovaa mi machangu na wasnatoa uwani
 
Acha uzushi na siku nyingine usilete upuuzi kama huu hapa.Kama imekutokea wewe usidhani kila anayevaa pambo hili ni mmoja wa hao wako waliokutokea.

Kwa faida yako na wengineo, huwezi kumsoma mtu kitabia kwa jinsi alivyojipamba. Udhaniaye ndiye basi utakuta siye and vice versa. Kuna wengine wana fikra mbaya au potofu na hawa wanaposikia "tetesi" basi hawakawii kuanza kusema ni "ushahidi".

Katika kila jamii hapakosekani watu wenye mitindo ya maisha iliyo nje ya kawaida.Watu kama hawa hawawezi kutofautishwa na wengine kwa maana ya mavazi au mapambo.Inapotokea wanaonekana nao wamejipamba kama " wengine" basi wenye akili finyu hurukia kutoa tafsiri ambazo hazipo kama mnavyosema hapa.Kwa taarifa yenu vikuku, vishaufu, hereni ( hata wanaume huvaa siku hizi) za masikio na hata sehemu nyingine za mwili ni pambo tu linaloweza kuvaliwa na mtu yeyote bila kutangaza chochote.

Hatuwezi kuacha kuvaa mapambo yetu ati kwa vile kuna watu wachache wasiojua, wanaeneza tetesi na uvumi.......

tatizo la jamii yetu tumekuwa vilazaz kila sector

wake kwa waume , watu wanafanya mambo pasi kujua/kufanya utafiti maana yake nini...huu ni ukilaza na ni ukilaza huu unakuwa-extended mpaka kwenye sector nyingine za maisha yetu

Hatuta-waspoon feed kwamba maana yake nini,ukisikia jambo basi fanya utafiti , huyu mwanzilishi wa mada amekuja na assumption hiyo, kazi kwenu........
 
Back
Top Bottom