Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mimi navutiwa na mtu (mwanamke) jinsi alivyo na sio na alivyo navyo, as shanga, mkufu nk.
Historia ya shanga ina vimelea vya ushirikina, dem wangu akivaa ndo mwisho wa mahusiano
...yani wewe ni MSHAMBA Mshirikina!
...Period!
 
Kila mtu ni mshamba maeneo flani, kwa hilo nakubaliana nalo kuwa mshamba, nawe kwenye angle zangu ni mshamba tuuu
...teh teh teh ...sasa mbona washupaza shingo kishamba kwa ushamba wako wakati wajijua u-MSHAMBA!??
....mi ni "mshamba tuuu" kwenye yale mambo yenu ya vibao kata!
 
...teh teh teh ...sasa mbona washupaza shingo kishamba kwa ushamba wako wakati wajijua u-MSHAMBA!??
....mi ni "mshamba tuuu" kwenye yale mambo yenu ya vibao kata!
So wajiona mjanja kwa kupenda shanga au!
 
I like it so much. I love mwanamke mwenye shanga hamna mfano,ila innshu ya UKIMWI nnaitilia maanani na by the way nothing is new kwa mwanamke,mengine twafundishana,papuchi in zile zile.
 
Mimi mwenyewe matumizi ya shanga hasa siyajui ila nikikutana na mwanamke mwenye shanga napagawa ile balaaaa..
 
Nini Madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu,

1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni.

Je waona je vyapoteza maana halisi kwa wanao vaaa hole hole hole au?

Maoni yako tafadhali changia


===========================================
MAJIBU YALIYOPATIKANA
===========================================

Nimeona nilete mada hii ili kuwekana sawa katika ishu ambayo inaongelewa pasipo kuwa na ufahamu wa kina. Katika mapambo yanayotumika sana ulimwenguni na tena na watu wa marika tofauti ni pamoja na vikuku na vishaufu.

=> Kuhusu vikuku miguuni

DSC07523.JPG


Kwa makabila ya kiafrika vikuku huvaliwa kuanzia na watoto wachanga, wasichana, wanawake wa makamo na hata vikongwe.

Vikuku hivyo vyaweza kuwa vya shanga, ngozi, au hata madini kama dhahabu, fedha na hata shaba. Vyaweza kuvaliwa mguu mmoja au hata miguu yote.

vikuku.jpg






=> Kuhusu uvaaji wa Vishaufu/kipini puani
attachment.php

Tukirudi kwa vishaufu, urembo huu ambao huvaliwa puani aghalabu hupatikana kwa makabila ya pwani lakini kwa miaka ya karibuni umeenea hata kwa makabila mengine hasa kwa wasichana.

=> Kuhusu uvaaji wa shanga kiunoni



Hitimisho:
Kwanini basi naleta hii ishu tuijadili ni kwamba, hapa JF nimesoma baadhi ya wachangiaji wakihusisha hasa vikuku na mienendo isiyofaa na kuleta dhana kuwa wenye kutumia mapambo hayo basi wana ajenda nyingine.

Binafsi napenda kusema kuwa urembo wowote waweza kutafsiriwa vyovyote - kwa ubaya au uzuri ila mwisho wa siku mtumiaji/mvaaji tu ndiyo mwenye kujua maana.

Wenzangu sijui mnasemaje?
Duh huyu akitaka kunywa maji vipii? Nacho kitakunywa!
 
Back
Top Bottom