Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Ni ruhusa kwa Wanawake wote wanaojisikia kuvaa cheni miguu yote au mguu mmoja kufanya hivyo. Cheni hizi zimeanza kuvaliwa na Wanawake sehemu mbali mbali duniani miaka mingi tu lakini miaka ya karibuni urembo huu umependwa sana na Wanawake wengi na hivyo kuwa maarufu zaidi. Wanaotaka kusema yale wanayoyafikiria kuhusu cheni hizo waacheni wafurahishe nafsi zao lakini ukweli unabaki pale pale kwamba ni urembo tu na hakuna maana nyingine yoyote ile. Mwanamke akivaa cheni shingoni ni urembo, akivaa mkononi ni urembo, akivaa kiunoni ni urembo lakini akivaa mguuni/miguuni tu KOSA!!! Miguu miwili anacheza kote kote, mguu wa kulia/kushoto sijui upuuzi gani! hahahahahaha LOL! Kazi kweli kweli!
Ahaaa ahaaa BAK si unajua watu stori za vijiweni wanavyopenda kuzihalalisha kwa kila mtu wanayemuona, sasa tulikuwa tunauliza na hao ambao hawavai lakini wanatoa TIGO inakuwaje
 
  • Thanks
Reactions: BAK
bila shaka ukweli ni kwamba wanatumika kinyume na maumbile, nakumbuka nikiwa shule ya msingi wkt huo mtu akinyoa nywele na kuwa kipara ilikuwa na maana yake. hinyo sio tu style. Mfano wanawake wanao vaa changa wengi wao ni malaya kupindukia, kwao kuvua bikini mara nne kwa siku kwa watu tofauti sijambo la ajabu.
:disapointed:
 
Hapo tigo kwa kwenda mbele ndo maana yake, hakuna jingine la ziada hapo!!!!!!!!!!!
 
Mbona wanaume wanavaa hereni katika sikio moja atuhoji nadhani ni urembo tu labda wataalam watueleze
 
kama ni urembo, kwanini iwe ni mguu wa kushoto tu na si kulia?
 
Jamani mnaovaa perseption za watu waliopo kwenye mazingira fulani fulani zinawahukumu mnaonaje mkaachana na vikuku??? watoto pia wanapandikizwa mtazamo huu.
 
haha...si ukimwona muulize! wengi wanagawa tigo! unatakiwa uanze kwa kumpiga kidole...hahaha
ukiona kimya ujue ni kanyaga twende...
 
Mwanamke kuvaa cheni mguu wa kushoto anaashiria kuwa yeye ni "BLENDER". Hio ndio asili yake.
 
Uhalisia upi unaozungumzia hapa tatizo ni kwamba mnapenda ku-generalize mambo siku mke wangu akivaa cheni mguuni si ajabu ukimuona mjini utaanza kusema statement kama uliyoiandika hapa "Kwamba wanafanywa kinyume na maumbile" msiwe wepesi wa kuhukumu mambo au kuona mtu kavaa kitu fulani basi mnasema atakuwa anafanya hivi kama ni hivyo basi mtakimbilia kusema wamasai nao watakuwa walikuwa wa kwanza kufanya huo mchezo maana wao na wanavaa.
Kaka tatizo hautojua labda uwe mtundu sana.....kuna akina dada ( nawajua kama watatu live)ambao wanapenda kuchezewa au kuliwa TIGO,ila wako kwenye ndoa lakini wanashindwa kuwaambia wenzi wao..hivyo wanasaidiwa na washkaji wa nje ambao mara nyingi walishaanza tangu zamani!! nina ushahidi tosha katika hili wala sihitaji mjadala!!....wengi wanatumia mtindo huu ila huwa wanakuwa wakali sana ukiliongelea kama hapa!!!
 
Kila mtu anaongea vyake labda wenzangu mngenielekeza nina kabosi changu kaana penda hivi vithuku vya miguun sasa kanavaa kushoto kila mtu anavyoongea kivyake wanaojua na uhakika kinamaana gan na akivaa kulia na kushoto anatoa mwaliko gani??
 
Back
Top Bottom