Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Ni urembo tuu ingawa urembo huu unatumiwa vibaya na wale wenye biashara zao,.mm nilishawahi kuvaa kabla ya kwenda chuo na wakati nipo chuo lakini ckuwa nauza chochote ila kwa sasa hata jinsi ya kukivaa nimeshasahau.....cjui na utoto nao ulikuwa unachangia unajilipua tuu huoni nn wala nn...

Yalo pita si ndwele...
Usije ukawa uliacha baada ya makubwa kukukuta
 
Kikukuu kwa mdada unaejiheshimu na asiyekuwa malaya si rahisi kuvaa..!! Wengi wanaovaa ni Malayaa na wahuni... Me mwanamke akivaa KIKUKUU... Akichora TATOO.. kwa kwelii namuona ni kahaba tuu...
 
Usije ukawa uliacha baada ya makubwa kukukuta
Mmh,hakuna kitu kama hicho kwangu kilichotokea ni basi tuu kama mtu anavyoamua kuacha punyeto/sigara/bangi/pombe n.k ndivyo ilivyo kwangu na Bado mwanamke mwenye guu lake akivaa ananivutia na simfikirii kama ni Malaya...pia kazi yangu hainiruhusu kujiachia kihivyo mkuu ingawa niliacha kabla kabisaaaa ya kuwa na majukumu yyte yale.
 
mimi sivipendi[emoji23] baadhi ya watu nnaowafahamu wanavaaga najaribu kuwaelekeza wanasema ni urembo tu hakuna lolote.
Ila kuvaa kikuku ni nembo ya umalaya, mguu wa kushoto nyuma ,wa kulia mbele...
akivaa yote anauza pote[emoji23][emoji23].


Halafu zamani walikua wanavaa walioolewa ambao mumewe jogoo hasimami ,kwahiyo akivaa anamaanisha mumewe hawezi kitu yuko tayari kwa mpango wa kando na Bwana karuhusu( mama ndivyo alivosema )
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huo ndio ukweli dada
 
Salaam wana JF,

Kichwa cha habari chahusika.

Kuna dhana kwamba wadada wanaovaa vikuku wengi wanafanywa nyuma na ukichunguza kwa haraka haraka utaweza kukubaliana na hili kutokana na wavaaji wengi kuwa wale machangudoa na wacheza X (porn movies) ambao wengi wanauza tigo na wale wa kwenye video wanacheza anal sex movies.

Sasa naona wadada wengi wa chuo hasa vyuo vikuu wanavaa sana vikuku; Je, ni kutangaza biashara au? Mana'ke wengi ukiwaangalia tu wamekaa kwa kuliwa liwa tigo. Ni kuiga mambo au ndo wanajidanganya urembo?

Wadada wa chuo kujeni mtuambie.
Kwa hili mkuu umepotoka sana! Vikuku ni urembo tu kama urembo mwingine wa kawaida asili ya Vikuku ilianza karne nyingi sana zilizopita na waasisi ni red indians ikaja ikashuka mpaka Asia. Na haijawahi kuwa na maana hiyo unayofikiria ni urembo tu kama kuvaa shanga kiunoni.bangili mkononi. Cheni shingoni etc etc kama ni mambo ya 0713 mbona kuna wadada wengi wanashiriki huo mchezo na hawavai hivyo Vikuku! Please do research b4 coming to this grate thinkers forum
 
9204c1c872862d0dbaad3232c67b9716.jpg

Nimezaliwa katika family ya kifugaji
Maisha yangu ilikuwa ni uchungaji kama sehemu ya maisha halisi ya jamii yangu ilionizunguka

Kadri umri wangu ulivyo ongezeka ndivyo nilivyo anza kutamani mambo mbalimbali kulingana na rika langu

Vijana wengi wa rika langu walipendelea kuvaa shanga shingoni mwao huku zikitafautiana na shanga zilizo valiwa na wamama watu wazima na mabinti waliokuwa wanachipukia

Sikuwahi kufahamu chimbuko la utamaduni huu wa uvaaji wa Shanga wapi ilikuwa ni chimbuko lake katika jamii yangu
Naamini wengi tulivaa kama fashion kulingana na utashi tuliokuwa nao

Shanga zilivaliwa sehem mbalimbali katika mwili wengine Shingoni, Wengine miguuni, Wengine walizivaa kiunoni hasa watoto wakike..

Lakini thamani ya shanga nilikuja kuiona pale nilipofika mjini kwa Mara yakwanza nakuongozana na mjomba katika Ibada ya mkesha wa pasaka siku hiyo nilijisikia furaha sana pindi Shemasi alipokuwa anainua rozari juu kama ishara ya msalaba kilicho nitia furaha moyoni ni pale nilipogundua kuwa rozari ilikuwa imetengenezwa kwa Shanga..

Kadri siku nilizoishi mjini nilianza kugundua kuwa watu wa mjini walikuwa hawavai shanga kwenye miili yao kama sisi wa kijijini lakini wao walizipa majina shanga zile na zikawa na hadhi kuliko zakwetu

Shanga hizi za mjini ziliitwa rozari kwa wafasi wa Masihi na wafasi wa mkweli muaminifu wao kumbe waliziita Tasbihi..

Uhusiano wa shanga na mwanadamu haukuishia misikitini na makanisani pekee Bali hata watu waliosadiki kutokuwepo kwa Mungu nao walitumia Shanga kutambika

Kumekuwepo na aina nyingi za shanga kulingana na kipato chako ndivyo na thamani ya Shanga itakavyo kuwa

Kuna Shanga zitokanazo na Vito vya thamani kama Tanzanite. Amathisit, Agate, Moonstone, Diamond, na Ruby pamoja na dhahabu..

Lakini pia kuna shanga zitokanazo na prastic na mifuko ya railoni

Hizi zote ni shanga
Wataalaam hutengeneza bidhaa hizi kufatana na mahitaji ya Wateja Shanga ambazo hutumika ktk Ibada zipo hutengenezewa aina ya fulani ya kuzitambulisha kuwa ni Shanga za Imani gani..
Hizi siku hizi huvishwa hata vyombo vya usafiri kama magari utazikuta zimeninginia kwenye site Millar ya seats ya dreva. Kama dreva muislam utaangalia Shanga ipi kaivalisha gari yake
Pia kama mkristo nae utaangalia aina ya shanga kwenye gari lake..

Nimekuwa nikijiuliza huu utamaduni wa Shanga na mwanadamu hasa muafrica ulianza karne gani na kuna mahusiano gani kati ya mungu na Shanga katika kumuabudu au pia kuna mahusiano gani kati ya Shanga na Urembo? Au Shanga na mapenzi?
Mimi bado sina majibu tusaidiane....
 
Swali lako halina tofauti na kuuliza nini faida ya kukatiana Viuno pale mnapokuwa mnabanduana mubashara kunako 6 X 6?
 
Binafsi napenda sana kikuku, yani kinaweza kaa mguuni kwangu zaidi ya miezi sita
Muda mwingine najisahau kabisaa

spend less, save more
 
Jamani mimi navutiwa sana na shanga za kiunoni.
Ila wadada mnaovaa zile za miguuni ama mikononi,je na kiunoni mnakuwa nazo ama?
 
Kwa baadhi ya makabila ya kitanzania kuvaa vikuku sio tatizo wanafuata utamaduni wao, ni sawa na mwanaume wa kimasai kuvaa shanga akivaa wa kabila jingine ni bwabwa

Jamii Forums mobile app
 
Hapana!!! Mie mama atakaevaa kikuku namtoa kwenye ustaarabu! Hao wabunge wanauvaa tu ustaarabu kwa ajili ya nafasi wanazoshika ila ukienda nyuma ya pazia hawana tofauti na akina Wema Sepetu... Naonaga Mange anavyowafukua mpaka unashangaa!
Paprika, na wewe unavaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Jamii Forums mobile app
 
Wengi watajaribu kutetea lakini ukweli utabaki kuendelea vile vile, ustaarabu wa mtu sio tabia ya mtu, kwani unaweza kuwa mcheshi lakini ukiwa kwenye anga zakoni muuaji, unaweza ukawa unaonekana mpole lakini kwenye anga zako ni malaya wa kutupwa, unaweza ukawa muongeaji sana mbele za mabinti wengi lakini ukiwa na mmoja unaesema unampenda unakuwa kama una utata. Kitu ambacho mtu atavaa kikiwa nje ya utamaduni wake aulizie vizuri maaa yake, wamasai kuvaa shanga kwa mwanaume kuanzia {miguuni, mikononi, shingoni na hata kiunoni} ni moja ya tamaduni zao, ni sawa wahindi wanaume nao kivaa rubega na wanawake kuvaa hivyo vikuku. Mtu yeyote anaevaa kinyume na utamaduni wa kabila lake vazi/kitu ambacho pia desturi na mila za kwao kama hairuhusu basi ni mwenda kinyume. Msipendelee kuvaa vitu bila kujua maana yake.
Soma hapa Now in this crazy period of eclecticism when all the boundaries are blurred and scarcely anything can petrify us, all those stereotypes and even traditions are coming to naught. That is why whether you are wearing the bracelet on your right or left ankle, in the grand scheme of things is of no importance.

But some of the most inquisitive fashionistas among you might be extremely interested in the right or left anklet-wearing etiquette.

Much as the wedding ring is usually worn on the left ring finger that way expressing its owner’s marital status, the anklets were also once gifted to the bride by the groom as a symbol of love and the wish to become her official husband. The women wearing anklets on their right ankles were being referred as call girls.

However, in Christianity it is the left side that is considered to be the symbol of Devil and everything connected with evil forces in general. There is also another version that the bracelet worn on the right ankle is telling about its wearer’s being of non-traditional sexual orientation



Jisomee zaidi kwenye [emoji117] Meanings of Anklets & Rules of Wearing Ankle Bracelets | Fashionisers


Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wengi mtakuwa mmeona wanawake wengi sikuizi wakiwa wanavalia shanga kiunoni ama cheni ndogo ndogo miguuni na viunoni,
4621b10798b7fb7a6b0f56c60d8a3edc.jpg
bin-bin-01.jpg

sasa naomba mwenye majibu ama mtazamo wako uniambie unadhani vina maanisha nini????
 
Back
Top Bottom