Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
au labda wameadvance wanavaa cheni tu?
Wapo wachache sana wanaovaa cheni tena gold, hasa wale waliozoea kumegwa na mafisadi, lakini wa kawaida bado wanadumisha utamaduni wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au labda wameadvance wanavaa cheni tu?
wapo wachache sana wanaovaa cheni tena gold, hasa wale waliozoea kumegwa na mafisadi, lakini wa kawaida bado wanadumisha utamaduni wetu.
mmmmmmh nilikuwepo
Najua sio kosa lako lakini si mbaya kujilinda na kujihami
uwe makini sana na shanga za mabinti wetu wa sasa ssio kama wa zamani kumekuwa na wengine wanatumika kama maagent wa shetan kuchukua nyota zako baraka zako na ndio maana wengine wakiona shanga wanakuwa kama wehu hata wakiwa wanafanya mapenzi wenzao wakiwapitishia sehemu zisizofaa wala awasikii sasa basi pengine umekuwa na ulevi wa jinsia hii kuwa makini uskimbilie kuchezea shanga zingine watu ziko kazizni
Kama unaweza achana nao kabisa
kila la heri usiku mwema