Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

sikutegemea swali kama hili.
jee wanao vaa cheni?
 
Ni kwamba katika tamaduni za washenzi fulani wa nje,walitumia kuvaa shanga miguuni Me kwa KE kama kitambulisho chao cha kufanya hizo SODOMA na GOMORA.na ikajulikana duniani kote kwamba washenzi wenzao wanaotaka hizo huduma hawapati shinda kutambua wahusika wa huo uchafu,

Sasa wenzangu na mimi hapa afrika wakaiga wakifikiri ni urembo na kuanza kuzivaa.

kwa hiyo kuna wanaovaa bila kujua maana na wanaovaa wakijua.kwa lugha ya kikoloni inaitwa 'free advertisement'
kazi kwako
 
zamani ndio ilikuwa hivyo ila kwa sasa ni urembo tu,kuna wengine wanavivaa hadi kanisani siku hizi,,,,,,,mambo ya utandawizi haya.
 
Niliwahi kusikia hiki kitu longtime eti Kuwa wanawake waliokuwa wanavaa hivyo ilikuwa ni njia ya kufikisha ujumbe kuwa wanafanya sodomy na wanaume walikuwa wanavaa hereni sikio moja! Ila kwa sasa sinauhakika kama bado inaujumbe huo huo au la!
 
Ni kwamba katika tamaduni za washenzi fulani wa nje,walitumia kuvaa shanga miguuni Me kwa KE kama kitambulisho chao cha kufanya hizo SODOMA na GOMORA.na ikajulikana duniani kote kwamba washenzi wenzao wanaotaka hizo huduma hawapati shinda kutambua wahusika wa huo uchafu,

Sasa wenzangu na mimi hapa afrika wakaiga wakifikiri ni urembo na kuanza kuzivaa.

kwa hiyo kuna wanaovaa bila kujua maana na wanaovaa wakijua.kwa lugha ya kikoloni inaitwa 'free advertisement'
kazi kwako

da mkuu uko dip umenisaidia sana kuelewa. so kumbe kuna ukweli kidogo.?
 
Niliwahi kusikia hiki kitu longtime eti Kuwa wanawake waliokuwa wanavaa hivyo ilikuwa ni njia ya kufikisha ujumbe kuwa wanafanya sodomy na wanaume walikuwa wanavaa hereni sikio moja! Ila kwa sasa sinauhakika kama bado inaujumbe huo huo au la!

Mkuu huenda ni kweli unajua ni kwani nimeuliza hivyo? Siku ya mwisho kuona hivo nilikuwa nimekaa kwenye gesti moja wakati jamaa yuko na huyo demu mwenye inye kubwa sana nikamuuliza akasema nikweli na huyo demu kamwambia. Na je uhusiano wa inye kubwa na kugawa tigo je? upo?
 
Ni kwamba katika tamaduni za washenzi fulani wa nje,walitumia kuvaa shanga miguuni Me kwa KE kama kitambulisho chao cha kufanya hizo SODOMA na GOMORA.na ikajulikana duniani kote kwamba washenzi wenzao wanaotaka hizo huduma hawapati shinda kutambua wahusika wa huo uchafu,

Sasa wenzangu na mimi hapa afrika wakaiga wakifikiri ni urembo na kuanza kuzivaa.

kwa hiyo kuna wanaovaa bila kujua maana na wanaovaa wakijua.kwa lugha ya kikoloni inaitwa 'free advertisement'
kazi kwako
lkn je kuna uhusiano kt ya inye kubwa na kuliwa inye maana naona wengi wenye inye kubwa ndo wanagawa hiyo inye au ni mawazo yetu tu mkuu?
 
Hizo story zipo sana mtaani, may b apatikane mwenye evidences atumwagie hapa.
 
uploadfromtaptalk1375969802710.jpguploadfromtaptalk1375969802710.jpguploadfromtaptalk1375969802710.jpgnini tofauti ya SHANGA na CHENI...wengi wenu mnaongelea cheni..tusisahau kuwa shanga ni african tradition...sasa mnataka kusema na bibi zetu wanagawa tgo.?? Au wamasai wanagawa tgo
?? Wakt wanaenzi utamaduni wao..je mdada wa kileo je akivaa shanga km hiyo utamlinganisha na anayevaa gold chain
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1375969821106.jpg
    uploadfromtaptalk1375969821106.jpg
    1.6 KB · Views: 857
  • uploadfromtaptalk1375969833739.jpg
    uploadfromtaptalk1375969833739.jpg
    37 KB · Views: 263
Back
Top Bottom