SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Umechelewa kunishauri, nakaribia kustaafu...l
Ooohh....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechelewa kunishauri, nakaribia kustaafu...l
Nasikia inareta radha kwa anaejua kuzitumia
Eti ni chachandu!!! Ila sasa huwa hazina mpangilio? Wengine wanavaa zigo, wengie chache sasa kipimo ni kipi?
Ni kama chumvi kwenye mboga
wat,this kiuno looks familiar...pic umeitoa wapi eti
Ha ha ha inategemea mkuu, mimi nataka avae 3-5 ikizidi sasa nakutana na zigo tu halafu ukutane na ambaye si fundi wa kuzitumia basi inakuwa kero!!!Kama pilipili....the more the better!
Shanga ni urembo lakini mbali na urembo ni chachu ktk mapenzi kwani humwongezea mwanamume mshawasha, raha ya shanga uweze kuzibagua kwa taratiibu huku ukitumia kidole kimoja cha mwisho na dole gumba bac hapo unaweza msababishia mwanamke mtekenyo fulani hv unaoongeza hisia zake, mimi hua nikimkuta mwanamke amevaa shanga nampatia zawadi ya kumkojoza
Shanga kiunoni ni uchawi tu kwani kuna mademu wengine wanavaa dawa za kuiba waume za watu kwa kuvaa hizo shanga.
Wakuu....kwema?
Hivi mwanamke akivaa shanga kiunoni, ni ishara ya nini? Je, anataka nini?
Nimesikia sikia uvumi kuhusu maana ya shanga kiunoni, nimeona nije jikoni huki kabisa nipate mlo murua!
Tuelezane.
Nakumbuka mada kama hii imewahi kujadiliwa hapa kitambo kidogo.... Well, mimi bado nasema kuwa kikuku kina maanisha kitu fulani... na anayejipamba kwa kikuku huwa analengo la kufikisha ujumbe kuwa mambo fulani hapo kwake ni ruksa...!