Urembo wasabisha mauti kwa ndoa changa

Urembo wasabisha mauti kwa ndoa changa

King Kong III
Howcome shigongo kwenye hii issue?
AU it looks as sinema/hadithi?

Story ilikuwa imekaa kishigongo sana lakini mrembo by nature amefafanua hapo labda vifaa vilivyotumika vilikuwa na kutu ndio vikasababisha tetenus.
 
Huu urembo wa kubandika sijui kope kucha ulishanipita pembeni....

Mama kaa mbali kabisa na huo ujinga! Wanawake na nyie malimbukeni sana, huwa nashangaa sana unakuta mmama eti ana nata huku kuanzia juu, kati, chini mpaka ndani kabisa vyote bandia! Bull shit!! Nashukuru my wife alishanielewa!!
 
ONYO !! Na wala msibadilishe maumbile yenu na hulka mliyoumbwa !!
Poleeni wafiwa.....
poleni wahanga....

Sofia umetupa funzo kwa wengine, kwa gharama yako. ulazwe pema.
 
Bora uingie gharama ya kununua vifaa vyako mwenyewe aiseeeh
 
mipango ya shetani hiyo kwani Mungu ndo alimwambia akaweke kucha bandia wakati Mungu amemuumba na kucha zake nzuri ni kiherere chake kimemponza
usiseme hivyo ndugu yangu, hata yeye hakupenda itokee hivyo. Mungu awape faraja wafiwa wote.
 
Sijawahi kubandika na sitokuja kubandika...hayo makucha na makope yao bandia ....
 
Back
Top Bottom