Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mi ni mrembo ila sipendi haya makitu kabisa
Thibitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni mrembo ila sipendi haya makitu kabisa
Right Mrembo, usemayo ! Siajabu cost ya hiyo saloon ni chini ya kiwango, Pia mmiliki na watoahuduma watasota jela for yrs!! Bongo ajali za aina hii zimeshapindukia KM:- Hospitals error Ajali za barabarani/majini/rumande nk. !!Hapana mkuu,ukijipanga na kuwa silias inawezekana...dawa ni kutafuta mwanasheria mzuri na siyo ilimradi mwanasheria.
Right Mrembo, usemayo ! Siajabu cost ya hiyo saloon ni chini ya kiwango, Pia mmiliki na watoahuduma watasota jela for yrs!! Bongo ajali za aina hii zimeshapindukia KM:- Hospitals error Ajali za barabarani/majini/rumande nk. !!
God forbid yasimkute mtu !!
Hapa shida sio ubandikaji kucha ni vifaa vya kusafishia kucha ndio vimesbaza tetenasi.ni vyema unapoenda kusafisha kucha ubebe vifaa vyako ambavyo havina kutu na viko kwenye hali nzuri. Hata taulo beba maana kinga ni nzuri kuliko tiba/kifo
Mkuu Nimekupata, Hatari kazini !! Nashukuru sana.Mkuu,kwanza mimi ni ME na siyo KE' ha ha haaa...pili mimi ni mdau wa masuala ya urembo. I mean nauza vitu vinavyomfanya mwanamke aonekane mrembo na pia ninatoa huduma za urembo.
Back to the topic: ni kweli usemacho kuwa kuna baadhi ya majanga yakikukuta basi esabia imekula kwako kwani nchi ya Bongo ni out law...kama hauna kitu mfukoni basi hesabu maumivu. Ila kwa hili la huyu marehemu am sure kama familia itaungana na kuwa kitu kimoja lazima watashinda hii kesi(ilimradi kuwe na ushahidi usiyo na shaka) ninauhakika na ninachokisema.
Sawa tunaweza sema ni moja ya hajari kazini...lakini huwezi kufanya mzaha kwenye mwili wa binadamu mwenzako. Wewe kama muhudumu wa Salon inatakiwa uijue kazi yako kwa ufasaha sana kabla ujashika au kumuhudumia mteja. Haya mambo ya kienyeji enyeji madhara yake ndiyo haya. Daah imeniuma sana!!
i did once and i found it very useles