Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love the gals natural!Huu urembo wa kubandika sijui kope kucha ulishanipita pembeni....
Ha ha ha!kila kitu wanabandika tu, kucha wanabandika, kope wanabandika, makalio wanabandika.....na sisi tutaanza kubandika naniliu....mtashangaa mji mzima kila mtu saizi ya punda!
Sijawahi kubandika na sitokuja kubandika...hayo makucha na makope yao bandia ....
Huu urembo wa kubandika sijui kope kucha ulishanipita pembeni....
Mi ni mrembo ila sipendi haya makitu kabisa
Ha ha ha!
Ya punda mzee!
Utapata mada kesi, ile ya IST Bukoba ikawa cha mtoto!
Siyo kweli, siyo mpango wa MUNGU.
Nikiwa kama mmoja wa wadau kwenye Dunia ya urembo nimesikitika sana na hii taharifa. Kama kweli niliyoyasoma kutoka kwenye hili gazeti la Mwananchi basi ni hatari sana na imenigusa sana...pole kwa familia husika!.
Lakini hata hivyo ningeshauri hiyo familia ifanye mambo yafuatayo-:
1. Walipeleke hili swala polisi
2. Waitafute hiyo Salon iliyotoa huduma kwa marehemu na wajiridhishe pasipo na shaka kuwa ni kweli matatizo ya marehemu yalianzia hapo.
3.Watafute wakili mzuri then ili swala liende mahakamani. Kama itakuwa ni professional salon basi wahakikishe wanalipwa stahiki zote kulingana na sheria za mahakama zetu...na ikiwa ni hizi salon za uchochoroni au za vibarazani kama pale Mwenge basi wahakikishe hicho ki salon kinafungwa na huyo muhudumu aliyesababisha hayo matatizo kwa marehemu basi anapata mvua za kutosha na aozee jela. IMENIUMA SANA!!

Itasaidia nini ikiwa mtu ameshakufa,,,!!
Hapa kwetuTZ:- Mmmmmh, Labda huko 1st world !!
Polisi watafunguwa mradi... watakula kwa mshtakiwa na kwa kwa mlalamikaji.... hadi wajute !
mpango wa nani?