DOKEZO URGENT: Binti wa miaka 16 ameozeshwa kwa lazima kama mke wa pili, huko Laela, Sumbawanga

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Asante Mkombee Asante karesaa....tutenzi taaa....
Laela palikuwa na nuru ya maendeleo lakini.......
 
Aisee Dr.nime appreciate......that's Bravo...you cut the cake....hapan'shaka na wengine wataiga mfano.
 
Sidhani kama uko ktk moyo wa binti
Wewe ndo upo kwa moyo wa binti? Vyombo husika vinavyojua sheria vimeshasema wamelichukua, wao watafanya assessment yao ikiwa ni pamoja na kufika kijiji husika, kumhoji binti na kufanya maamuzi kwa kadri ya sheria na taratibu za nchi yetu. Tuwaachie wao suala limefika mikono salama.
 
Kwenye snario ya hiyo ya mleta mada jukwaan Binti Hana consent na hiyo ndyo inaleta lose hapo Kuna force imetumika,

Hiyo case uliyotumia kama reference karudie kuisoma
 
Hata Mimi nimejishtukia balaaa.

#YNWA
Huku hakuna noma...kama kuna jambo we funguka tu....tapika yoote...toa sumu mwilini.....kwa lugha za staha.......halafu huyoooo kalale....ila mie nikipata uchungu...natukana kidooogo.🙂🙂🙂
 
Ahsante Sana nimewasiliana naye tayari. 🙏
Asante sana kwa kuchukua hatua kwa haraka.
Tutafurahi pia kama ukituletea mrejesho wa hili suala baada ya kuwa mmelifanyia kazi ili hili dokezo liwaze kupata 'Closure', itakua pia ni motisha nzuri kwa watumiaji wa hili jukwaa kuendelea kuripoti matukio ya namna hii na kufichua mengine mengi.
Hivyo, kama hautajali mheshimiwa waziri utuletee mrejesho hapa hapa baada ya timu yako kuwa imelifuatilia, kulifanyia uchunguzi na kulimaliza hili suala.
Asante sana.
Dkt. Gwajima D
 
UKO VIZURI MUHESHIMIWA MBUNGE NA WAZIRI!

NIMEPENDA UWAJIBIKAJI WAKO!!

HONGERA SANA!
 
Alooo ngoja nipuge simu isijekuwa mdogo wangu kafanyiwa haya mweh mweh kulichi kuko?
 
Binti wa miaka 16 ni mtu mzima kabisa....punguza utaahira mkuu!!....

Turning back the hands of time,.....
Mzazi wangu wa kike alibeba ujauzito wangu akiwa na miaka 15... Mwaka mmoja pungufu wa hiyo....!!!

Hakuna mtoto hapo!!!... Na visheria vyenu uchwara sijui sheria ya mtoto!!! ...

Eti mtoto!!... Mtoto!?...mtoto anaukimbilia mshedede!!?.... Get serious man!
 
Nilipoona "binti ametoroka" halafu ukaweka details zote za alipo kwaasa baad ya kutoroka, nikajua ndio walewale
 
Hakika nitaletea mrejesho Ili kuimarisha ushirikiano na jamii. Ahsante sana kwa maoni yako, ubarikiwe 🙏🏽
 
Watu mnaotetea bhn mnashangaza.Hivi nyie hao watoto wenu waliopo huko shule akisema hataki shule anataka kuolewa wew utamruhusu?Tatizo ni watu wanaropoka simply kwa sababu sio ndugu,dada,mtoto wao.Pelekeni ujinga wenu huko huko kwenye koo na vijiji vyenu
 
Lete mrejesho
 
Tumwache mh afuatilie hili, ndo kazi zao viongozi kuokoa taia pale wanapopatwa na sintofahamu. Huyu binti hakupaswa kuolewa sababu hajaridhia hivo wazazi na mwoaji kosa lao lipo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…