The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Agiza mtu mzee hii nchi ukisema ufate utaratibu utachelewa sana “NAMAANISHA SANA”.Walimuamini vp huyo mshikaji wako mpaka wakampa kitambulisho chako.?
Anyway, kama ulijiandikisha mkoa A na sasa upo mkoa B na sina mpango wa kwenda mkoa A na nna hitaji kitambulisho hapo inakuwaje.?
Mpe kazi mtu anaeujua vizuri wajihi wako mpe majina yako matatu kamili aende ofisi ya kata/mtaa uliouandika ktk karatasi zako za NIDA atakikuta.