Agiza mtu mzee hii nchi ukisema ufate utaratibu utachelewa sana “NAMAANISHA SANA”.Walimuamini vp huyo mshikaji wako mpaka wakampa kitambulisho chako.?
Anyway, kama ulijiandikisha mkoa A na sasa upo mkoa B na sina mpango wa kwenda mkoa A na nna hitaji kitambulisho hapo inakuwaje.?
Ingia kwenye website Yao kuna namna Unaweza pata copyUrgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata.
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, Arusha tz
Sikia Nenda Tawi lolote la bank waambie watakuasaidia ilo tatizo lako dogo tu wana System hiyoUrgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata.
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, Arusha tz
Inawezekana mkuu, igia kwenye tovuti yao jaza taarifa zao kisha utapata matokeoTate Mkuu
kuna namna ya kupata ID COPY kutoka NIDA, ila siifahamu ndio maana nimeuliza,hii inawahusu wnye namba tu za NIDA
Niunganishe naye aiseKuna mtu nikuunganishe nae anafanya 3000 tu kama sikosei whatsapp anatengeneza chap,
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
hii nimecheka sananenda kwa wahuni wakuchongee chap, tena kinakua OG kuliko 'chenyewe'
Chutama halafu piga kisha piga picha huko Chakechake PembaUrgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata.
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, Arusha tz
KAMA HUJUI CHOCHOTE KAA KIMYA
jamani mie shida yangu ni moja,napenda kujua majina niliyowaandikaga wazazi wangu kwenye nida,je nitajuaje ama nitumie njia gani kujua