mhhh...ni juzi tu nimegundua kuwa mpenzi wangu ana u.t.i....sikuwa na uelewa mkubwa sana so nikaona nihabarike zaidi wikipedia ndo nikakutana na hiyo habari kuwa u.t.i ni rahisi sana kuwapata wenye ujauzito na isipotibiwa vizuri ikaisha kwa mama wajazito inaweza kusababisha pre-mature birth(kuzaa njiti) na disabilties nyinginezo kwa huyo mtoto...hivyo ushauri wangu kwako ni vema uhakikisheunalitibu kwa kina hilo tatizo lako haraka iwezekanavyo...
Cha pili naomba nisaidiwe hapa jamani kama mpenzi wangu ana u.t.i namimi ntakosa kweli???....na madhara yake ni nini kwa wanaume??
u.t.i haiambukizi jamani
Nina tatizo hili la UTI kujirudia mara kwa mara naomben msaada wa matibabu kwa kina kwan nimetibiwa huu mwaka unaisha lakin kila nikipima tena inaonekana ipo japokuwa dalili zake hupungua kwa mara ya kwanza nilikua nakojoa mara kwa mara, maumiv wakat wa kukojoa, maumivu chini ya kitovu, homa lakin kadri mda unavozid kwenda dalili hizo zimepotea ila ugonjwa haujaisha nin tatizo wajamen ukizingatia kipind hichi ni mjamzito je ugonjwa huu utaniletea matatizo kwa mtoto atakae zaliwa??????
Sasa kama haiambukizi kwanini kwenye zile causal factor na sexual intercourse imejumuishwa??...alafu ye alipofika hospitali akaulizwa una mpenzi??? Unamwamini??...mara ya mwisho ulikutana naye lini??...hauna mimba wewe???....haya ni baadhi tu ya maswali aliyoulizwa....sasa nachanganyikiwa ukinambia haiambukizi
Hii ilikua niimani ya kizamani kwamba U.T.I. haiambukizwi au mwanaume habati U.T.I. lakini recently, imekuja kugundulika kwamba inaambukiza kwahiyo akiwanayo mmoja tu katika sexual network basi wote shuruti mtibiwe, vinginevyo itakua haiondoki na inaweza ikawa sugu na kukusababishia matatizo ya kutokushika mimba kwa mwanamke au kutoshikisha mimba kwa mwanaume. Kama haupo kwenye mahusiano, sana sana kwa wanawake, basi ni kuhakikisha tu kwamba mazingira ya huko (kwaukweli) yanakua makavu usiwepo unyevu unyevu hasa wakati wa joto.u.t.i haiambukizi jamani
Hii ilikua niimani ya kizamani kwamba U.T.I. haiambukizwi au mwanaume habati U.T.I. lakini recently, imekuja kugundulika kwamba inaambukiza kwahiyo akiwanayo mmoja tu katika sexual network basi wote shuruti mtibiwe, vinginevyo itakua haiondoki na inaweza ikawa sugu na kukusababishia matatizo ya kutokushika mimba kwa mwanamke au kutoshikisha mimba kwa mwanaume. Kama haupo kwenye mahusiano, sana sana kwa wanawake, basi ni kuhakikisha tu kwamba mazingira ya huko (kwaukweli) yanakua makavu usiwepo unyevu unyevu hasa wakati wa joto.
Hii ilikua niimani ya kizamani kwamba U.T.I. haiambukizwi au mwanaume habati U.T.I. lakini recently, imekuja kugundulika kwamba inaambukiza kwahiyo akiwanayo mmoja tu katika sexual network basi wote shuruti mtibiwe, vinginevyo itakua haiondoki na inaweza ikawa sugu na kukusababishia matatizo ya kutokushika mimba kwa mwanamke au kutoshikisha mimba kwa mwanaume. Kama haupo kwenye mahusiano, sana sana kwa wanawake, basi ni kuhakikisha tu kwamba mazingira ya huko (kwaukweli) yanakua makavu usiwepo unyevu unyevu hasa wakati wa joto.
Sasa kama haiambukizi kwanini kwenye zile causal factor na sexual intercourse imejumuishwa??...alafu ye alipofika hospitali akaulizwa una mpenzi??? Unamwamini??...mara ya mwisho ulikutana naye lini??...hauna mimba wewe???....haya ni baadhi tu ya maswali aliyoulizwa....sasa nachanganyikiwa ukinambia haiambukizi
Nina tatizo hili la UTI kujirudia mara kwa mara naomben msaada wa matibabu kwa kina kwan nimetibiwa huu mwaka unaisha lakin kila nikipima tena inaonekana ipo japokuwa dalili zake hupungua kwa mara ya kwanza nilikua nakojoa mara kwa mara, maumiv wakat wa kukojoa, maumivu chini ya kitovu, homa lakin kadri mda unavozid kwenda dalili hizo zimepotea ila ugonjwa haujaisha nin tatizo wajamen ukizingatia kipind hichi ni mjamzito je ugonjwa huu utaniletea matatizo kwa mtoto atakae zaliwa??????
mate pia sio mazuri wakati wa shughuli..!! tukiachilia mbali unywaji wa maji ya kutosha kusafisha chumvichumvi kwenye figo,na usafi wa kutawaza na kinasa/pichu< ajitahidi kupata hewa wakati mwingine kama ni mnene oxygen inahitajika kunako kinanilii..Pia kama anakaa muda mrefu bila kupata tendo kuna aina ya normal flora wanakuwa pathogens wakipata PH Fulani...ajitahidi kuwa na wakati wa kuhudumia maeneo hayo kila mara au mpenzi wake amsaidie kama yeye yupo busy. asante.MziziMkavu eti ni kwanini hiyo hapo juu
UTi haiambukizwi kwa njia ya ngono!
Ila kwa huwa njia ya mkojo kwa akina mama ni fupi sana, bacteria ni rahisi kupanda (ascend) kwenda kwenye kibofu na hivyo kisababisha UTI kwa wepesi kiliko wanaume!
Suala la kujamiiana linakuja pale ambapo, kwa kuwa magonjwa ya zinaa dalili zinatokea kwa uchache kwa akinamama kulinganisha na wanaume basi hiyo ascending infection inaweza kuwa imetokana na ama ugonjwa wa zinaa ama wadudu walio normal flora katika maeneo yanayozunguka njia ya mkojo!
mate pia sio mazuri wakati wa shughuli..!! tukiachilia mbali unywaji wa maji ya kutosha kusafisha chumvichumvi kwenye figo,na usafi wa kutawaza na kinasa/pichu< ajitahidi kupata hewa wakati mwingine kama ni mnene oxygen inahitajika kunako kinanilii..Pia kama anakaa muda mrefu bila kupata tendo kuna aina ya normal flora wanakuwa pathogens wakipata PH Fulani...ajitahidi kuwa na wakati wa kuhudumia maeneo hayo kila mara au mpenzi wake amsaidie kama yeye yupo busy. asante.