Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Nili sex na msichana mmoja dacktari mmoja anasema nimeambukizwa UTI mwingine anasema ni magonjwa ya ngono.nimetumia dawa nyingi sana.kma erythromycin,glandmycin,metro.lakini sijapona.naombeni mnisaidieni.wakatia wa kukojoa napata tabu sana

Fafanua vizuri unapata tabu gani?!
 
jaribu antibacterial kali zaid kma ceftriaxone ambayo utachomwa sindano
kupata shida wakati wa kukojoa jee unakojoa damu??
Kma jibu ni ndio bila shaka utakuwa na kichocho
dawa ni praziquntel vidonge unapima uzito unapewa kulingana na uzito wako kwa maelezo zaid ni PM
 
Nili sex na msichana mmoja dacktari mmoja anasema nimeambukizwa UTI mwingine anasema ni magonjwa ya ngono.nimetumia dawa nyingi sana.kma erythromycin,glandmycin,metro.lakini sijapona.naombeni mnisaidieni.wakatia wa kukojoa napata tabu sana
ni kipimo ambacho kinajumlisha

kaka,magonjwa mengine huwa ni vigumu kuonekana katika stage flani japokuwa yanakuwa ya kawaida sana.nenda hospitalini uombe kufanyiwa kipimo kinaitwa "CULTURE&SENSITIVITY" lazima kinachokutatiza kipatikane.kuna mdogo wangu alisumbuka mwaka mzima anaugua kaswende bila kujijua.kila tukimpeleka hospital anapimwa magonjwa yote ya zinaapamoja na ngoma lakini wapi.alikunywa dawa mpaka basiiiii.alikuwa anatokewa vipele kwenye uume,vinakuwa vidonda then anahangaika mpaka vinapona lakini ndani ya wiki tatu hali inaanza tena.ndipo tulipompeleka mount meru hospital akafanyiwa hicho kipimo vipimo vingi.alitibiwa akapona mpaka wa leo.kama uko mawilayani tafuta hospitali kubwa kidogo.
 
Wakyagara nashukuru sana aisee kwan nimeshakunywa sana dawa tangu mwaka mwezi wa sita had lei sijapona.nitazingatia ushauri wako
 
Hakuna discharge yeyote.ni maumivu tu wakati nikitaka kukojoa
Uli-sex na msichana mmoja bila ya soksi.
Ili upone, tafuta msichana mwathirika, wale wenye HIV pia usex nae bila soksi.
Usubiri wiki 6 ukapime uone UTI imepotea?
 
Nili sex na msichana mmoja dacktari mmoja anasema nimeambukizwa UTI mwingine anasema ni magonjwa ya ngono.nimetumia dawa nyingi sana.kma erythromycin,glandmycin,metro.lakini sijapona.naombeni mnisaidieni.wakatia wa kukojoa napata tabu sana
Ulikula dawa ipasavyo lakini?Tatizo la antibiotics usipomaliza dosage yote basi infection inarudi na hao vijidudu wanakuwa resistant:Yaani dawa inakuwa haiwaui kwasababu wanatengeza njia za kujikinga na dawa...na isitoshe si antibiotics zote zinatibu gonorohea my dear au UTI kwasababu ni inachangiwa na aina ya bacteria ulokuwa nao(gram positive au gram negative)
Na ni lazima upimwe (ichukuliwe culture ya mkojo au manii kama unatokwa nayo) ili ujulikane na una gono au urinary tract infection ili upate tiba sahihi:
Kutibu GONOROHEA:
Ceftriaxon 500 mg x 1( ni sindano unachomwa moja tu)
Penicillinsensitive bacterias:then unahitaji Amoxicillin 2g +probenecid 1g (1 dosage)>>>>orally
Cinolonsensitive bacterias:ciplofloxacin 500 mg as 1 dose>>>>orally
Kutibu UTI:
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/397697-kibofu-kuwaka-moto.html#post6552034
 
Habarini zenu wandugu, bila shaka j2 iko poa.

Nina rafiki yangu ambaye amesumbuliwa na UTI kwa muda mrefu sana; amehudhuria hospitali mara kwa mara bila kupata msaada. Je ni namna gani bora ya kutibu ugonjwa huu. Mchango wenu ni muhimu sana kwa ndugu yangu huyu.
 
kwanza kubali ukweli acha kusingizia rafiki ! pole kwa kukuugua
kwanza nenda hosptal upatiwe matibabu
pili zingatia usafi huko chini,uvae chupi za cotton ,epuka kutumia tissue feki nyingi zina matatizo...jisafishe vizuri huko na maji safi,pia kunywa maji kwa wingi kila siku hata lita tatu .. kuna watu hawanywi maji wanakojoa mikojo michafu sasa inapopita hapo inaaacha majanga kunako k
pia acha ngono zembe maana wewe ukitibiwa ukitembea na huyo mumeo au kidumu kama anao unarudi uti kwa mwanaume inakuwa haionekani sana..inabidi mtibiwe wote!
 
pamoja na hayo tafuta jani la alovera limenye kata kipande ingiza huko kwa siku saba! kila siku
 
Tatizo lako halitofautiani na la mdogo wangu wa kike. Mi nmeshahangaika nae mpaka nmekata tamaa na cjui namsaidiaje tena.
 
Tatizo lako halitofautiani na la mdogo wangu wa kike. Mi nmeshahangaika nae mpaka nmekata tamaa na cjui namsaidiaje tena.
aisee dunia imeendelea yaani kaka mtu unajua maswaibu ya k ya mdogo wako wa kike ? alikuambia au ulijuaje mkuu?
 
Pole sana. Ili tuweze kukushauri ingekuwa vizuri kujua una dalili gain ambazo zinakufanya uamini kuwa una UTI
 
Tatizo lako halitofautiani na la mdogo wangu wa kike. Mi nmeshahangaika nae mpaka nmekata tamaa na cjui namsaidiaje tena.
cha kufanya aende hosptal apatiwe dawa ila huku anatumia dawa awe mnywaji sana wa maji hata lita tatu kwa siku. pia azingatie usafi huko down ..aepuke ngono zembe pia jaribu hii tiba yaasili azukue jani la alovera aweke huko chini aoshe vizuri alimenye akate kipisi cha kuenea huko kwa siku saba aweke kila siku usiku atoe asubuhi au akiweza na asubuhi aweke tena kingine hivo hivo
 
Kwanza mwambie anapotumia choo awe makini vyoo vingi ni vichafu amwagie maji ndio akojoe,pili issue ya tissue pia ya kuzingatia tatu huyu anapokutana na mpenzi wake hawatumii condom so akienda hoospital aende na mpenz wake wakapime wote maana ye kama anajitibia halafu mwenzake hatibi wakikutana kazi inakua bure. Pia mshauri atumie condom
 
Nenda pale ubungo plaza kanunue dawa inaitwa LIFE. Pia inapatikana nakiete mwenge, nashauri uende ubungo wakupe dozi muafaka
 
Kunywa maji kwa wingi ni muhimu sana na pia kuepuka kutumia au kupunguza matumizi ya public toilets. Pia kama una mupenzi naye ni lazima apimwe kama yuko salama au itakuwa ni kazi bure kujitibu kila mara wakati yeye hayuko shwari.
 
hapa nndo wengi wanapokosea mkuu wanaosha sufuria ila mwiko mchafu umejaa vumbi!
 
Back
Top Bottom