Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Nashukuru kwa ushauri mzuri; huyu ndugu ameenda hospitali na kuhakikishiwa kuwa ni UTI. Tatizo ni kwamba dawa anapewa ila kupona hakuna. Nakubaliana na hoja ya kunywa maji mengi na kumshauri mwenzi wake pia akapime. Pia hiyo dawa ya LIFE itabidi nimshauri haitafute phamacy kwani yuko mkoani na si dar hivyo Nakiete na Ubungo plaza hawezi kufika. Mawazo yenu nayafikisha sasa hivi.
 
huku akitafuta hiyo dawa ya life aweke jani la alovera
 
Hivi UTI pia ipo katika group la STIs/STDs? tiba ya UTI inahusisha contact tracing pia kama ilivyo kwa STIs?
 
Kwanza mwambie anapotumia choo awe makini vyoo vingi ni vichafu amwagie maji ndio akojoe,pili issue ya tissue pia ya kuzingatia tatu huyu anapokutana na mpenzi wake hawatumii condom so akienda hoospital aende na mpenz wake wakapime wote maana ye kama anajitibia halafu mwenzake hatibi wakikutana kazi inakua bure. Pia mshauri atumie condom

umehitimisha....wazo lako linatosha
 
aisee dunia imeendelea yaani kaka mtu unajua maswaibu ya k ya mdogo wako wa kike ? alikuambia au ulijuaje mkuu?

Thanks kwa kunipa jinsia tofauti na nliyokua nayo. Bt kwa bahat nzuri mimi ni mwanamke.
 
cha kufanya aende hosptal apatiwe dawa ila huku anatumia dawa awe mnywaji sana wa maji hata lita tatu kwa siku. pia azingatie usafi huko down ..aepuke ngono zembe pia jaribu hii tiba yaasili azukue jani la alovera aweke huko chini aoshe vizuri alimenye akate kipisi cha kuenea huko kwa siku saba aweke kila siku usiku atoe asubuhi au akiweza na asubuhi aweke tena kingine hivo hivo

Thanks alot zimefika.Xo anaeza endelea na dozi ya hospital huku anaendelea kuweka
 
Samahani lakini ndugu. Hiyo dawa ya aloevela umeitoa wapi?? Kuna mtu alishatumia ikamsaidia??
 
Ndugu zangu wana jf naomba mnisaidie mwenzenu dawa gani ni nzuri kwa kutibu UTI...Hii ni mara ya pili imenikuta mara ya kwanza(kama wiki tatu zmepita) nilitumia dawa aina ya clavam...sasa naona imerudi yaan hapa nilipo nipo kazin tumbo linaniuma sijisikii vizuri. Natanguliza shukrani
 
Kama imerudia ni vizuri kurudia kipimo kuona extent kama imeongezeka au imepungua lakini pia tumbo haliumi kwa UTI tu!!!!!!

Rudi hospitali mkuu pole sana,meanwhile pata dawa ya kutuliza maumivu
 
Thank you kaka Olesaidimu...but ilikuwa umepona kabisa.....

Inawezekana kabisa dalili za ugonjwa kutoweka kwa muda ukadhani umepona halafu ukapata re-lapse ambayo usipoiwahi inakuwa na madhara zaid sasa ili kuwa na.uhakika ni bora kurudia kipimo upya ili kuwa na uhakika wa dawa,yawezekana pia dawa hiyo haijafanya kazi kama ilivyotarajiwa na sababu zaweza kuwa nyingi hapa!!!!!!

Wahi hospitali mkuu unapoongelea UTI ni kwa ujumla unaongelea mpaka figo mkuu sasa la muhimu ni kupata uhakika wa kipimo kwanza
 
Ndugu WanaJF mimi ninasumbuliwa na ugonjwa wa UTI baada ya kuthibitishwa na daktari. ilinianza mwezi wa nane,nikatibiwa nikapona lakini baada ya wiki mbili ikarudi tena, nikarudi tena kwa daktari nikatibiwa na baadae ikarudi tena. yaani nimechoka na sielewi nifanyeje. dawa nlizotumia ni hizi Ciprobody,Doxin (nimekopi kama ilivyoandikwa kwnye cheti ila huenda nikakosea baadhi ya spelling). Naombeni Ushauri Kwa Wanaojua Na Mnielekeze Dawa Nzuri Zakununua. Asanteni
 
Kwa ninavyofahamu mara nyingi watu wanaogua UTI mara kwa mara ni wale ambao hawajatahiriwa hii ni kwa watu wazima(watoto wanaoogeshewa wamekaa ndani ya beseni).
 
Inawezekana njia ya mkojo inavipingamizi ambvyo kw lugha yao wanaita (Urethral stricture). Kwa hali kama hiyo mkojo ubakia kil uendepo aja ndogo. ukikaa baada ya mud kidg uzalisha wadudu a UTI ambao nao wako wa aina nyingi. USHAURI.... Nenda kapime kipimo kinaitwa URETHRALGRAM ili uwe na uhakika na njia ya mojo
 
asante mkuu,mimi nlipimwa mkojo na damv ndo nikapewa hayo majibu ya UTI siku4 zilizopita
 
Kwa ninavyofahamu mara nyingi watu wanaogua UTI mara kwa mara ni wale ambao hawajatahiriwa hii ni kwa watu wazima(watoto wanaoogeshewa wamekaa ndani ya beseni).

asante mkuu,ila mimi nimetahiriwa
 
Back
Top Bottom