maphie
Senior Member
- Jul 28, 2011
- 174
- 47
Nashukuru kwa ushauri mzuri; huyu ndugu ameenda hospitali na kuhakikishiwa kuwa ni UTI. Tatizo ni kwamba dawa anapewa ila kupona hakuna. Nakubaliana na hoja ya kunywa maji mengi na kumshauri mwenzi wake pia akapime. Pia hiyo dawa ya LIFE itabidi nimshauri haitafute phamacy kwani yuko mkoani na si dar hivyo Nakiete na Ubungo plaza hawezi kufika. Mawazo yenu nayafikisha sasa hivi.