WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Nili sex na msichana mmoja dacktari mmoja anasema nimeambukizwa UTI mwingine anasema ni magonjwa ya ngono.nimetumia dawa nyingi sana.kma erythromycin,glandmycin,metro.lakini sijapona.naombeni mnisaidieni.wakatia wa kukojoa napata tabu sana
ni kipimo ambacho kinajumlishaNili sex na msichana mmoja dacktari mmoja anasema nimeambukizwa UTI mwingine anasema ni magonjwa ya ngono.nimetumia dawa nyingi sana.kma erythromycin,glandmycin,metro.lakini sijapona.naombeni mnisaidieni.wakatia wa kukojoa napata tabu sana
Uli-sex na msichana mmoja bila ya soksi.Hakuna discharge yeyote.ni maumivu tu wakati nikitaka kukojoa
Ulikula dawa ipasavyo lakini?Tatizo la antibiotics usipomaliza dosage yote basi infection inarudi na hao vijidudu wanakuwa resistant:Yaani dawa inakuwa haiwaui kwasababu wanatengeza njia za kujikinga na dawa...na isitoshe si antibiotics zote zinatibu gonorohea my dear au UTI kwasababu ni inachangiwa na aina ya bacteria ulokuwa nao(gram positive au gram negative)Nili sex na msichana mmoja dacktari mmoja anasema nimeambukizwa UTI mwingine anasema ni magonjwa ya ngono.nimetumia dawa nyingi sana.kma erythromycin,glandmycin,metro.lakini sijapona.naombeni mnisaidieni.wakatia wa kukojoa napata tabu sana
aisee dunia imeendelea yaani kaka mtu unajua maswaibu ya k ya mdogo wako wa kike ? alikuambia au ulijuaje mkuu?Tatizo lako halitofautiani na la mdogo wangu wa kike. Mi nmeshahangaika nae mpaka nmekata tamaa na cjui namsaidiaje tena.
cha kufanya aende hosptal apatiwe dawa ila huku anatumia dawa awe mnywaji sana wa maji hata lita tatu kwa siku. pia azingatie usafi huko down ..aepuke ngono zembe pia jaribu hii tiba yaasili azukue jani la alovera aweke huko chini aoshe vizuri alimenye akate kipisi cha kuenea huko kwa siku saba aweke kila siku usiku atoe asubuhi au akiweza na asubuhi aweke tena kingine hivo hivoTatizo lako halitofautiani na la mdogo wangu wa kike. Mi nmeshahangaika nae mpaka nmekata tamaa na cjui namsaidiaje tena.
hapa nndo wengi wanapokosea mkuu wanaosha sufuria ila mwiko mchafu umejaa vumbi!Kunywa maji kwa wingi ni muhimu sana na pia kuepuka kutumia au kupunguza matumizi ya public toilets. Pia kama una mupenzi naye ni lazima apimwe kama yuko salama au itakuwa ni kazi bure kujitibu kila mara wakati yeye hayuko shwari.