huku akitafuta hiyo dawa ya life aweke jani la aloveraNashukuru kwa ushauri mzuri; huyu ndugu ameenda hospitali na kuhakikishiwa kuwa ni UTI. Tatizo ni kwamba dawa anapewa ila kupona hakuna. Nakubaliana na hoja ya kunywa maji mengi na kumshauri mwenzi wake pia akapime. Pia hiyo dawa ya LIFE itabidi nimshauri haitafute phamacy kwani yuko mkoani na si dar hivyo Nakiete na Ubungo plaza hawezi kufika. Mawazo yenu nayafikisha sasa hivi.
Kwanza mwambie anapotumia choo awe makini vyoo vingi ni vichafu amwagie maji ndio akojoe,pili issue ya tissue pia ya kuzingatia tatu huyu anapokutana na mpenzi wake hawatumii condom so akienda hoospital aende na mpenz wake wakapime wote maana ye kama anajitibia halafu mwenzake hatibi wakikutana kazi inakua bure. Pia mshauri atumie condom
aisee dunia imeendelea yaani kaka mtu unajua maswaibu ya k ya mdogo wako wa kike ? alikuambia au ulijuaje mkuu?
aisee dunia imeendelea yaani kaka mtu unajua maswaibu ya k ya mdogo wako wa kike ? alikuambia au ulijuaje mkuu?
teh teh bora nilishaogopa mwenzioThanks kwa kunipa jinsia tofauti na nliyokua nayo. Bt kwa bahat nzuri mimi ni mwanamke.
cha kufanya aende hosptal apatiwe dawa ila huku anatumia dawa awe mnywaji sana wa maji hata lita tatu kwa siku. pia azingatie usafi huko down ..aepuke ngono zembe pia jaribu hii tiba yaasili azukue jani la alovera aweke huko chini aoshe vizuri alimenye akate kipisi cha kuenea huko kwa siku saba aweke kila siku usiku atoe asubuhi au akiweza na asubuhi aweke tena kingine hivo hivo
teh teh bora nilishaogopa mwenzio
duh umenitoa dini...sasa siku akiingiziwa nyama ataisikia kweli?pamoja na hayo tafuta jani la alovera limenye kata kipande ingiza huko kwa siku saba! kila siku
Thank you kaka Olesaidimu...but ilikuwa umepona kabisa.....
Inawezekana njia ya mkojo inavipingamizi ambvyo kw lugha yao wanaita (Urethral stricture). Kwa hali kama hiyo mkojo ubakia kil uendepo aja ndogo. ukikaa baada ya mud kidg uzalisha wadudu a UTI ambao nao wako wa aina nyingi. USHAURI.... Nenda kapime kipimo kinaitwa URETHRALGRAM ili uwe na uhakika na njia ya mojo
Kwa ninavyofahamu mara nyingi watu wanaogua UTI mara kwa mara ni wale ambao hawajatahiriwa hii ni kwa watu wazima(watoto wanaoogeshewa wamekaa ndani ya beseni).