we ni mwanamke, mwanaume? ni dalili gani zinakusumbua? kwa muda gani sasa?
Mkuu mi ni mvulana,ninavyojisikia ni maumivu makali wakati wa kukojoa na mkojo unatoka mdogo mdogo sana huku ukiwa na rangi ya mawingu mawingu na maumivu chini ya kiuno basi na kuhusu muda ni miezi sita sasa Red Giant
ulpma ukaambiwa hyo ni uti??
Hizo dawa zote alizotumia zimemponyesha ila anajiambukiza tena. Nenda na partner wako mkatibiwe pamoja na utunze mazingira ya choo na unywe maji ya kutosha.
Usiwe play boy, mademu wa sasa hawaoshi K kwa ufasaha. Ni hayo tu.
maelezo yako yanaonyesha utakuwa na non-gonococal urethritis. hii husababshwa na wadudu mbalimbali na mara nyingi hujirudia rudia na huwa ngumu kutoka. nakushauri tumia azithromycin 1g mara moja tu. vidonge vinne vya 250mg au viwili vya 500mg. baada ya 2weeks uje hapa tuone maendeleo.Mkuu mi ni mvulana,ninavyojisikia ni maumivu makali wakati wa kukojoa na mkojo unatoka mdogo mdogo sana huku ukiwa na rangi ya mawingu mawingu na maumivu chini ya kiuno basi na kuhusu muda ni miezi sita sasa Red Giant
studies zinaonyesha kuna uhusiano mkubwa kati ya ngono na UTI japongono haiwezi wekwa kama visbabishi vya UTI.mkuu UTI haiambukizwi kwa njaa ya sex hii ni urine transmission desease na sio sexual transmission desease (STD)
maelezo yako yanaonyesha utakuwa na non-gonococal urethritis. hii husababshwa na wadudu mbalimbali na mara nyingi hujirudia rudia na huwa ngumu kutoka. nakushauri tumia azithromycin 1g mara moja tu. vidonge vinne vya 250mg au viwili vya 500mg. baada ya 2weeks uje hapa tuone maendeleo.
Fanya culture utapona na kama una mke naye atibiwe na kama hujaoa mtibu na ni viruri utumie kundom all th tym
mkuu UTI haiambukizwi kwa njaa ya sex hii ni urine transmission desease na sio sexual transmission desease (STD)
kama iligoma jaribu metronidazole(flagyl) au tinidazole 2g mara moja. kama ni metronidazole za 250mg unatumia vidonge 8 mara moja. kuna wadudu aina nyingi husababisha NGU na hurespond tofauti tofauti kwa dawa. kama ulikuwa unafanya ngono na unayehisi alikuambukiza inabidi na azithromycin 1g uirudie.MKUU Red Giant mbona azithromycin nimeshatumia lakini bado mkuu
kuna doctor wa kigiriki tabata posta pale kwenye nguzo za tanesco opposite na ofisi za tanesco tabata atakusaidia sana huwa anatumia dawa za kwao na gharama ndogo mno nenda utapona mzee inshallah.
Mkuu tupe mrejesho!Sawa nashukuru nadhani nijitahidi hivyo maana wengi wamenishauri ninywe maji