Rai Pazzy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 493
- 187
we ni mwanamke, mwanaume? ni dalili gani zinakusumbua? kwa muda gani sasa?
Mkuu mi ni mvulana,ninavyojisikia ni maumivu makali wakati wa kukojoa na mkojo unatoka mdogo mdogo sana huku ukiwa na rangi ya mawingu mawingu na maumivu chini ya kiuno basi na kuhusu muda ni miezi sita sasa Red Giant
Last edited by a moderator: