Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

vaa boxer Safi
acha uvivu wa kutofua boxer
-kunywa maji mengi
 
tafuta majani ya muhina chemsha unywe siku 3 asbh na usiku halaf boxer sijui chupi zichome moto nunua mpya
hutoiskia tena u.t.i
Muhina ndo mti gan huo au kwa jina lingine kwa sabab sijawai kuusikia
 
Nitatumia hiyo dawa then ndo nitaenda hospital kama haitafanya kaz
 
Nenda duka la madawa baridi ya binadam then ulizia dawa inaitwa AZUMA ipo ktk fom ya vdonge... Me ni nshaitumiaga ipo vzur sana, ila ukipewa make sure unamaliza doz mana inawah kuponyesha so ucje ukajikuta unaikatisha doz.... Hakikisha unaimaliza
Azuma nimetumia na zaman kweli ilikuwa helpful lakini saiz imegoma na huwa namaliza dozi sijawai kukatisha hata mara moja
 
Tumia baking soda weka kijiko kimoja cha chai kwenye glass kutwa mara moja (subh kabla ya kula kitu chochote) kwa siku saba
Sijaelewa unaichanganya na maji?
Na kama unaichanganya na maji ni ya moto au ya barid?
 
Cipro nimetumia nitajarib hizo nyingine
Asanteh sana
 
Jinsia yako na umri tafadhali. Mengine ya muhimu ni kufanya culturing ya mkojo kama walivyoshauri wadau wengine.
 
Fanya kipimo cha culture and sensitivity kwanza ndugu otherwise utatumia kila dawa Bila mafanikio
 
tafuta majani ya muhina chemsha unywe siku 3 asbh na usiku halaf boxer sijui chupi zichome moto nunua mpya
hutoiskia tena u.t.i
Kwa kipimo gan mkuu?...kijiko,kikombe n.k
 
Nimekuelewa vizur sana lakini hujanipa kipimo cha hyo dawa kama ni kijiko,glass au jagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…