DryEyes
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 233
- 275
Urine culture and sensitive vipimo bei gan naomba kujua kabisa cz hali ya uchumi sio poa ili nijue kama naimudu au niangalie ata cha kuuza nikatibiwe kwa sabab hamna kitu sikipend kama mwil wang kuwa abnormal.Hapana jamani tisichanganye mambo kwamba UTI ni gonnorhoeae huu ni ugonjwa tu wa kawaida kila unakuzwa sana kama mtaalam wa maabara wa muda mrefu ningeomba unieleze unavyo jisikia ukikojoa je unatoa vitu vyeupe kama usaha au unavyojisikia, ILA nenda Fanya kipimo cha Urine Culture and sensitivity watafanye selection ya dawa sahihi kwa bacteria uliyekuwa nae itakupa dawa sahihi yakutumia , tuepuke sana kutumia dawa bila kufanya vipimo sahihi hiyo anayekubadilishia dawa several times anakuua sababu anakujengea usugu (resistance) ya dawa. waweza tembele web site yangu www.tanhelso.or.tz