Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Hapana jamani tisichanganye mambo kwamba UTI ni gonnorhoeae huu ni ugonjwa tu wa kawaida kila unakuzwa sana kama mtaalam wa maabara wa muda mrefu ningeomba unieleze unavyo jisikia ukikojoa je unatoa vitu vyeupe kama usaha au unavyojisikia, ILA nenda Fanya kipimo cha Urine Culture and sensitivity watafanye selection ya dawa sahihi kwa bacteria uliyekuwa nae itakupa dawa sahihi yakutumia , tuepuke sana kutumia dawa bila kufanya vipimo sahihi hiyo anayekubadilishia dawa several times anakuua sababu anakujengea usugu (resistance) ya dawa. waweza tembele web site yangu www.tanhelso.or.tz
Urine culture and sensitive vipimo bei gan naomba kujua kabisa cz hali ya uchumi sio poa ili nijue kama naimudu au niangalie ata cha kuuza nikatibiwe kwa sabab hamna kitu sikipend kama mwil wang kuwa abnormal.
 
Jaman vipimo vya urine culture and sensitive bei gan kwa anayejua msaada tafadhari
 
Wengi inakua ngumu kupona kwa sababu wanajitibu wao tu bila wapenzi/wenza wao!!! Kama kwenye sexual relationship ambayo hamtumii kinga, mmoja akipata UTI ni vizuri wote mkatibiwe... Na daktari anayejielewa atakwambia umpeleke na mwenzako kama yupo.
 
Hizi chronic uti mara nyingi huwa ni sexual transmitted diseases zinazokumbana na madaktari wasio na uzoefu. Kila ukienda wanakuambia pima mkojo tu.
 
Mimi nilitibiwa na wake zangu wawili....
Niko poa kabisa
 
Hizi chronic uti mara nyingi huwa ni sexual transmitted diseases zinazokumbana na madaktari wasio na uzoefu. Kila ukienda wanakuambia pima mkojo tu.
Lugalo lazima utibiwe wewe pamoja na mwenza. Hawakubali utibiwe peke yako.
 
20170322_174718.jpg
 
Lugalo lazima utibiwe wewe pamoja na mwenza. Hawakubali utibiwe peke yako.
Afu lugalo ndo nlikuwa na mpango wa kwenda kupima lakin mpenz nlonae saiz sijawai kufanya nae mapenz na nliekuwa nae mwanzo niliachana nae sasa sijui watanielewa kwel
 
kwani huu ugonjwa zamani haukuwepo sikuwahi kuusikia au ndo uliokiwa unaitwa gono?
kuna sehemu nimesikia sikia sikuiz gono wanaiita U.T.I sugu, kwa kuwa maneno ya vijiweni huwa sifatilii zaidi ila nayahifadhi
 
Ni nini azuma mkuu?
Wewe si unataka dawa ya kupona UTI? ndio unaambiwa sasa tafuta dawa inaitwa Azuma. Nenda Pharmacy kaulizie dawa inaitwa Azuma. Nyingine inaitwa Cypro, ikishindikana kabisa Kesho jumapili wahi kanisani kafanyiwe maombi
[HASHTAG]#Ova[/HASHTAG]
 
Mimi nilitibiwa na wake zangu wawili....
Niko poa kabisa
Mimi mwenyewe kuna mtu nilikia kila nikutane nae najikuta naumwa... Nikamwambia ndugu kama hutaki kutibiwa hilo tatizo utanitesa sana na siwezi endelea... Yaani nilimbeba mpaka hospitali...
 
Duh sijawahi kuyaona best. Nina Mdogo wangu ana hilo tatizo na yupo chuo ndo kapatia huko ila kila Mara natoa fedha za matibabu lkn haponi.
 
Chukua majani ya mpera, vitunguu swaum, na limao weka na asali then viblend ongeza maji lita nusu au robo tatu yaan glass 3 kunywa kutwa mara 3 kwa siku kumi. Ukipona usisahau kuja kunishukuru. 0782183441
 
Wakubwa hachana na madawa ya madukani, tumia mchai chai, chemsha kama chai usichanganye na chochote, weka tu sukari, kunywa asubuhi na jioni, kwa kifupi ifanye kama chai yako, malaria, UTI, na magonjwa mengine utayasikia kwa jirani
 
Back
Top Bottom