Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Nimekuelewa vizur sana lakini hujanipa kipimo cha hyo dawa kama ni kijiko,glass au jagi
Pole sana mkuu Nina mdogo wangu wa kiume anatatizo kama lako. Amefanya hicho kipimo cha culture lkn bdo anaumwa . Kwa sasa anatibiwa na dawa za asili . Ushaur wangu kama una mpenz kampime na Yeye hata kama hana Anywe dozi , nguo za ndani zipasiwe kabla ya kuvaa au choma zote nunua mpya.
 
Naona madoctor wengi kila mmoja na dawa yake sa sikia ushatumia madawa mengi na kadri unavyotumia hayo madawa mwisho utaharibu figo
7bu uti yaweza kuwa vimelea au wakati mwingine ni vidonda katika njia ya haja ndogo na kuna nyingne mbaya zaidi ya vijiwe hiyo ndo inaitwa UTI sugu kwanza jizoeshe kila unapoenda haja ndogo usikojoe kama mbwa chuchumaa halafu jisafishe vizuri na maji
Halafu hapo fanya haya ninayokwambia wakati unazisikilizia hizo dawa
Kwanza jitahidi kwa siku upate glasi moja ya juice fresh ya ukwaju na jitahidi pia angalau unywe maji dafu moja kwa siku ukiweza changanya na ndimu
Na muhimu kabisa akikisha unakunywa maji mengi siku nzima na kabla kulala kunywa mengi zaidi itakufanya uamke mara kwa mara kwenda kukojoa sasa kila unapoamka unapoenda kukojoa kunywa tena maji ili upate kujisikia mkojo tena fanya hivyo kwa wiki naimani itskusaidia mwisho kabisa vaa nguobya ndani kwa siku moja na ukishaifua usiirudie agharabu zipite hata siku kumi na jenga mazoea ya kupiga pasi nguo za ndani
nakwambia hivyo 7bu nina uzoefu wa kuwatibu vijana ninaowafundisha hukumbwa na matatizo hayo mara kwa mara
 
Tafuta majani ya maembe changanya na majani ya migomba chemsha kutwa mara 12
 
Usafi hasa wa nguo zako za ndani ni muhimu sanaaa, hakikisha zinaanikwa juani sio ndani. Vilevile shida kubwa ipo kama unatumia vyoo vya public (nyumba za kupanga) hakikisha unasafsha kabla ya matumizi.

Pia lazima ujitahid kuongeza unywaji maji wako angalau iwe Lita 2 au zaidi kulingana na mazingira/shughuli unazofanya.

Ni vigumu kukushauri kuhusu dawa, mana haukutaja umetumia dawa zipi, kwa dose zipi, na ni kwa muda gani?

pia wanasema (not proved) ni vyema ukaepuka sex kipindi hiki ili kuepuka chance ya kupata re_infection.

Ivyo ni baadhi ya vitu vichache ambavyo naweza changia. Asante.
 
unamwambia aende lugalo BT hujajua Anaishi wapi, vipi kama yuko huko Namanyere vijijini Rukwa siyo mchezo kuja lugalo maana kuja lugalo na kurudi Laki2
 
Tumia Condom Mara Zote... Ni Urinary Tract Infection (UTI)
 
Pole ndugu kamuone docta mzoefu kuna sindano nimeisahau jina inachanganywa then inakuwa kama maziwa afu unadugwa Cc10 ya tako uchungu wa hapo unausikia hadi kwenye moyo kama hujala usidungwe utazimia ni kali mno then unapewa doz ya vidonge. Zingatia
ukitumia vidonge tu huponi.
 
Reactions: SIM
Kama una mpenzi inatikiwa mpate tiba wote wawili, inawezekana hizo dawa ulizowahi kutumia zimekuponya ila unapata maambukizo mapya mfano kutoka kwa mp.
 
Mkuu Maradhi ya UTI yamekuwa ni maradhi sugu yasiyo sikia dawa za Hospitali utaweza kutumia dawa za hospitali hata miaka 2 kupona kwako hayo maradhi ya UTI itakuwa ni hadithi tusio rahisi kupona kwa dawa za Hospitali. Kuna mtu nimemtibia mimi hayo maradhi ya UTI kwa muda wa siku 30 kwa dawa zangu za asili amepona kabisa .Alitumia dawa za Hospitali karibu miaka 2 na hajapona ametumia dawa zangu siku 30 na amepona kabisa ukihitaji matibabu toka kwangu.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Zingatia haya;
1.Kunywa maji yasiopungua Lita 5 kwa siku.Hii itakusaidia kukojoa Mara kwa Mara na kuondoa vijidudu.
2.Fanya mazoezi kila siku hadi yakufanye utoke jasho.
3.Ni mwiko kukutana na mpenzi wako kimwili na mshauri nae aanze matibabu.
4.Usafi wa mwili na nguo zako uwe wa zaidi ya kawaida/mazoea.
5.Tumia dawa yoyote ya UTI huku ukizingatia ushauri wa hapo juu 1-4.
6.kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu utapona mapema mnoo,ila jipe likizo ya ugonjwa at least miezi 3 baada ya kupona bila kukutana na mwenza.
 
Hapana jamani tisichanganye mambo kwamba UTI ni gonnorhoeae huu ni ugonjwa tu wa kawaida kila unakuzwa sana kama mtaalam wa maabara wa muda mrefu ningeomba unieleze unavyo jisikia ukikojoa je unatoa vitu vyeupe kama usaha au unavyojisikia, ILA nenda Fanya kipimo cha Urine Culture and sensitivity watafanye selection ya dawa sahihi kwa bacteria uliyekuwa nae itakupa dawa sahihi yakutumia , tuepuke sana kutumia dawa bila kufanya vipimo sahihi hiyo anayekubadilishia dawa several times anakuua sababu anakujengea usugu (resistance) ya dawa. waweza tembele web site yangu www.tanhelso.or.tz
 


Nenda hospital wakafanye urine culture ili kujua aina ya wadudu na baadae watafanya sensitivity test kujua hao wadudu wanatibiwa Kwa dawa ipi ambayo utashauriwa kuitumia.
 
Nenda kafanye kipimo cha urine culture and sensitivity nitakupa dawa sahihi ya kutumia naweza kushauri zaidi
 
tafuta majani ya muhina chemsha unywe siku 3 asbh na usiku halaf boxer sijui chupi zichome moto nunua mpya
hutoiskia tena u.t.i
Ila umeke sure anakuwa mkavu huko chini Muda wote. Kuvaa chupi mbichi acha
 
Usiendelee kutumia dawa kwani ni sawa na kubahatisha tiba,chukua ule mkojo wa asubuhi wa kwanza ukitoka kuamka....preferred mid-stream urine yaani kojoa kidogo then stop kinga unaofuata alafu maliza kukojoa kings tens ule was mwisho unapomaliza kukojoa....peleka trusted maabara inayofanya culture na sensitivity ya dawa,hapo utajua una bacteria wa aina gani na sensitivity ya antibiotic ipi
 
Power safe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…