Ufafanuz please nusu Lita ya nini?Chukua backing soda yaan bicabornate na sio backing powder. Na uchukue glasi ya nusu lita then chukua kijiko kimoja cha wali kilichojaa kwa kukatwa weka na koroga then kunywa 3 times a day kwa siku5 ukipona usisahau kurudisha shukurani
MajiUfafanuz please nusu Lita ya nini?
Namaanisha kimiminika gan
ubarikiwe sana mkuu nitafanyia kazi ushauri wako...Pole kwa tatizo linalokusumbua tafuta hizi dawa na imani zitakusaidia kwa namna moja Mkuu
Chaguo la kwanza:
Amoxycillin 250mg kunywa kila baada ya masaa8 kwa siku 5 au Trimethoprim 300mg kunywa mara moja kwa siku kwa siku tano
NB: Hakikisha unavyokunywa dawa moja wapo wa hizo hapo juu kunywa na Folic acid 5mg mara moja kwa siku tano
Chaguo la pili:
Nalidixic 100mg kunywa kila baada ya masaa 6 kwa siku tano Hakikisha umekula na umeshiba kabla ya kumeza dawa hizo...
Kila la kheri
Asante mkuu nitaleta mrejesho hapa..Chukua backing soda yaan bicabornate na sio backing powder. Na uchukue glasi ya nusu lita then chukua kijiko kimoja cha wali kilichojaa kwa kukatwa weka na koroga then kunywa 3 times a day kwa siku5 ukipona usisahau kurudisha shukurani
Asante mkuu ubalikiweTiba ingine, chukua majani ya mapera yale malaini, chuma kama 16 hivi, chukua citunguu swaum mashina 4, chukua limao fresh 8kamia na blend huo mchanganyiko kwenye blender. Uchuje na utunze kwenye frij tumia glass tatu kwa siku yaan asubuhi mchana na jioni.kwa siki5 ukipona usisahu shukran mkuu. Kumbuka dawa zangu zinaenda na kunywa maji kwa wingi
Asante mkuuPole kwa tatizo linalokusumbua tafuta hizi dawa na imani zitakusaidia kwa namna moja Mkuu
Chaguo la kwanza:
Amoxycillin 250mg kunywa kila baada ya masaa8 kwa siku 5 au Trimethoprim 300mg kunywa mara moja kwa siku kwa siku tano
NB: Hakikisha unavyokunywa dawa moja wapo wa hizo hapo juu kunywa na Folic acid 5mg mara moja kwa siku tano
Chaguo la pili:
Nalidixic 100mg kunywa kila baada ya masaa 6 kwa siku tano Hakikisha umekula na umeshiba kabla ya kumeza dawa hizo...
Kila la kheri
Chukua backing soda yaan bicabornate na sio backing powder. Na uchukue glasi ya nusu lita then chukua kijiko kimoja cha wali kilichojaa kwa kukatwa weka na koroga then kunywa 3 times a day kwa siku5 ukipona usisahau kurudisha shukurani
Asante mkuu ubalikiweNenda kwa daktari ili aifanyie sampuli yako ya mkojo kipimo cha culture and sensitivity, kipimo hiki kitaonyesha ni "bakteria" gani unao na wanaweza kutibika na antibayotiki gani/ipi.
Umipimwa ukakutwa na U.T.I ?wakuu kwema huko nimechomba sindano na kumeza antiobyotics lkn uti haitoki kuna jamaa kanishauri nitumie baking soda ile ya maandaz nichanganye na maji je ni kwe li hii tiba itanisaidia msaada wenu wakuu..
wakuu kwema huko nimechomba sindano na kumeza antiobyotics lkn uti haitoki kuna jamaa kanishauri nitumie baking soda ile ya maandaz nichanganye na maji je ni kwe li hii tiba itanisaidia msaada wenu wakuu..