Darleen
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 570
- 484
Tiba ingine, chukua majani ya mapera yale malaini, chuma kama 16 hivi, chukua citunguu swaum mashina 4, chukua limao fresh 8kamia na blend huo mchanganyiko kwenye blender. Uchuje na utunze kwenye frij tumia glass tatu kwa siku yaan asubuhi mchana na jioni.kwa siki5 ukipona usisahu shukran mkuu. Kumbuka dawa zangu zinaenda na kunywa maji kwa wingi